Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Tulisema hana muda huyo chezea JPM, hata kabla ya uchaguzi. Bado wa UK anawashiwa moto London hatachukua round. Tutaona chacha Ka-zito chijui katakuwa kanakimbilia wapi haka kakuwadi. Milango yote itafungwa na chuma cha pua. Walishindwa kina Henry Kissinger itakuwa hawa vibaka.
Marekani inaichukia sana Tanzania ya sasa sababu haifuati agenda zao 100%.
Corona imeleta kizungumkuti