Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Sasa mkuu, kama umenyanyaswa na ushahidi unao, kwa nini usifungue shauri ili liamuliwe mahakamani?.. Hii tabia ya kuja kulalamika huku unadhani itakusaidia?.
Kama shauri lake litakuwa dhidi ya huyo anayemlalamikia, mahakama pia haitamsaidia.
 
Youtube naona tunaropoka tu.Ila mjue tu kuwa tunavyoaminishwa ujinga wa ubeberu hata zimbabwe waliaminishwa hivyo hivyo ila alieumia ni mwananchi wa chini
 
Naona mnashabikia ujinga,hata wabadili mabalozi Mara elfu,mtazamo,maagizo,utendaji,mbinu,muongozo wao ni ule ule wenye kuzingatia maslahi ya Nchi yake kabla ya Jambo lolote
Ni mwendo wa kubandua jasusi bandika jasusi zaidi.
Tatizo letu tunafikiri tuko kwenye ulimwengu wa kijamaa ambapo Watu na vitu ni very fair.
 
Youtube naona tunaropoka tu.Ila mjue tu kuwa tunavyoaminishwa ujinga wa ubeberu hata zimbabwe waliaminishwa hivyo hivyo ila alieumia ni mwananchi wa chini

Ya Zimbabwe unayafahamu wewe tu! Tupe mrejesho basi?
 
Huyu alikuwa mwanachadema ,aende tu,lazima itakuwa kakataliwa nchini ,badala ya kufukuzwa kama yule wa umoja wa ulaya ,wamemtunzia heshima ya kidiplomasia
Kumbuka kwamba huyu hakuwa balozi kamili, alikuwa anakaimu tu.
 
Kwenye mapigano atapigana na mikono mitupu au pistol itauwa jeshi zima?
Kwani Navy seal wao Ni vimbunga?
Kumbe unacho kiandika hukijui kumbe! Wewe aliye kuambia kuwa komando anafundishwa kutegemea bunduki peke yake ni nani? Na kuhusu bunduki hizohizo za kwenu mlizo kuja nazo ndizo atakazo tumia kuwamalizeni.

Unaweza ukaona ni kama moves naelezea Ila katika uhalisia ndio iko hivyo yaani.
 
Nimepitia reply zote mpaka ya #135 na bado sijajua natafuta nini? [emoji23][emoji23]
 
Huyu alikuwa mwanachadema ,aende tu,lazima itakuwa kakataliwa nchini ,badala ya kufukuzwa kama yule wa umoja wa ulaya ,wamemtunzia heshima ya kidiplomasia
Asingesalia hapa nchini. Amechagua njia nzuri ya kuondoka baada ya kutakiwa kuchagua ama kufukuzwa au kuondoka kwa hiyari.
 
Sasa Kama unataka nipambane na chuki zangu uli-respond kwanini comment yangu?! Wewe kaa kimya...hayakuhusu....Mimi namchukia mama huyo kwa ujinga na ujivuni anaofanya kwa TZ...ni mnafiki mkubwa...Hana heshima kabisa kwa nchi yetu...huwa anaropoka ovyo against TZ kwa issues ambazo Hana uhakika nazo..good ridance
Nyinyi wenye nchi wenyewe hamjiheshimu halafu mnataka wengine wawape heshima.

Are you idiot ?
 
Kumbe unacho kiandika hukijui kumbe! Wewe aliye kuambia kuwa komando anafundishwa kutegemea bunduki peke yake ni nani? Na kuhusu bunduki hizohizo za kwenu mlizo kuja nazo ndizo atakazo tumia kuwamalizeni.

Unaweza ukaona ni kama moves naelezea Ila katika uhalisia ndio iko hivyo yaani.
Acha kupotosha watu, Kuna mazingira ya ku deploy commandos, na mengine hayaruhusu. Niishie hapo tu.
 
Back
Top Bottom