Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Sasa walete Full Ambassador, kumuweka Acting Ambassador kwa muda wote huo ni kuonyesha ni jinsi gani wasivyoitilia maanani nchi husika.

Wanaona namna Tanzania ilivyokosa ushawishi kwa sasa kwani nchi sasa hivi inajulikana zaidi kwa mambo ya ukiukwaji wa haki za binadamu kama utekaji watu na kujeruhi wengine.
Maccm hayaoni kwamba nchi yetu kitendo cha kuwa na Kaimu Balozi ni ishara kwamba hatuna thamani mbele yao.
 
Aondoke tu huyo bibi, tayari ameishaambukizwa unafiki na tabia ya majungu na kutoheshimu mamlaka za nchi mwenyeji. Buriani bibi hata usipokuja tena kutalii hatuwezi kulia. 😡

Huyo alikuwa ni kaimu tu, atakuja balozi halisi. Ila atakayekuja atakutana na ripoti ya huyu anayeondoka. Kwa taarifa yako kwakuwa kuna utawala wa shuruti, hata atakayekuja atafanana na huyu huyu.
 
Tulisema hana muda huyo chezea JPM, hata kabla ya uchaguzi. Bado wa UK anawashiwa moto London hatachukua round. Tutaona chacha Ka-zito chijui katakuwa kanakimbilia wapi haka kakuwadi. Milango yote itafungwa na chuma cha pua. Walishindwa kina Henry Kissinger itakuwa hawa vibaka.
Mkuu unaijua
Consular and diplomatic convention vizuri kweli?
 
Tulisema hana muda huyo chezea JPM, hata kabla ya uchaguzi. Bado wa UK anawashiwa moto London hatachukua round. Tutaona chacha Ka-zito chijui katakuwa kanakimbilia wapi haka kakuwadi. Milango yote itafungwa na chuma cha pua. Walishindwa kina Henry Kissinger itakuwa hawa vibaka.
kwani anaondoka kafukuzwa au wamarekni wanaleta baloz mwenyewe
 
Back
Top Bottom