Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Ujinga ukishika hatamu kiasi cha kuhatarisha maslahi yao hawatakuwa na budi kuingia indirectly
[emoji38][emoji38]Kweli mkuu maana ukitaka Marekani akufate mpaka chumbani kwako wewe jaribu kuingilia masilahi yake
 
Hawapo pale kama wanajeshi ila huwa wapo kama moja ya wafanyakazi wa ubalozi wao ila wao ndio wanajijua nani ni nani
Hizo silaha za kuendesha mapigano zaidi ya masaa 24 kama unavyoeleza wanaziweka wapi? maana yake kukabiliana zaidi ya masaa 24 inatakiwa kikosi kizima Cha Askari wenye silaha nzito, kuanzia mizinga miepesi mpka vifaru!

Au unadhani mapigano ya namna ile Ni movie za akina Arnold au Rambo dhidi ya wavietnam?
 
Pale ubalozini ni sawa na nchini kwao. Wakiwa pale wanaweza kufanya chochote ndani ya eneo lao.

Kwa akili zako sijui ulielewa nini
Hebu peleka huko ujinga na uongo, ubalozi Ni kwa ajili ya uhusiano wa nchi kidiplomasia, balozi anaweza kufukuzwa na ubalozi kufungwa,

Usidanganye eti eneo la ubalozi Ni sawa na eneo lao. Hawaruhusiwi kuleta silaha Wala wanajeshi bila ridhaa ya taifa husika ( host country), mnapeana story za vijiweni na kuzisevu akilini mwenu.
 
Unaweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa baba yako, yaani mme wa mmako ndiye aliyempa mmako mimba yako?
Hoja zimekushinda sasa umebaki kuwewesekaweweseka tu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Pale pamekamilika mkuu kuna mpaka wale wanao itwa US NAVY SEAL. Ila ukienda pale huwezi jua hata ndio wenyewe maana wapo wapo tu kama vile hawapo ila ndio wapo hivyo wanasubiri mjichanganye muone shughuli yao ilivyo.
Huu ni mchanganyiko wa stori za vijiweni na movie za kutafsiriwa. Navy seal wanakuwa mobilized kunapokuwa na operation wanaenda kui execute hawawezi tu kukaa sehem kama G4S. Unajua kwanza navy seal ni kikosi gani na kina shughulika na nini hadi ukawaweke tu ubalozini wanapiga stori ?
 
Kwenye ubalozi ni nchi yako? Akiwa NAVY SEAL ila akawa na cover ya secretary wa balozi utajuaje ni mwanajeshi?

Benghazi kulitokea nini?
Acheni kudanganyana, Sheria ya nchi huru hairuhusu jeshi la taifa jingine kuingia na kufanya shughuli za kiulinzi ndani ya nchi nyingine isipokuwa kwa makubaliano na manufaa baina ya nchi hizo au maamuzi ya pamoja ya baraza la Umoja wa mataifa( UNSC)

Mnakuza Sana Mambo!!
 
Huu ni mchanganyiko wa stori za vijiweni na movie za kutafsiriwa. Navy seal wanakuwa mobilized kunapokuwa na operation wanaenda kui execute hawawezi tu kukaa sehem kama G4S. Unajua kwanza navy seal ni kikosi gani na kina shughulika na nini hadi ukawaweke tu ubalozini wanapiga stori ?
Yaaani watu wanapenda kudanganya bila hata aibu!
 
Sasa walete Full Ambassador, kumuweka Acting Ambassador kwa muda wote huo ni kuonyesha ni jinsi gani wasivyoitilia maanani nchi husika.

Wanaona namna Tanzania ilivyokosa ushawishi kwa sasa kwani nchi sasa hivi inajulikana zaidi kwa mambo ya ukiukwaji wa haki za binadamu kama utekaji watu na kujeruhi wengine.
 
Back
Top Bottom