Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Tulisema hana muda huyo chezea JPM, hata kabla ya uchaguzi. Bado wa UK anawashiwa moto London hatachukua round. Tutaona chacha Ka-zito chijui katakuwa kanakimbilia wapi haka kakuwadi. Milango yote itafungwa na chuma cha pua. Walishindwa kina Henry Kissinger itakuwa hawa vibaka.
Mnajua kumtetea mungu wenu muuaji
 
tusifurahi sana huenda ni mikakati yakutulea corona upya maana ushindi wetu dhidi ya corona hawajaupenda kabisa coz umewafanya waonekane ka wajinga
 
Wanajua kumtetea mungu wenu muuaji

Mkuu unaongea majungu huna ushahidi wowote. I am not interested in rumor mongers. Njoo na facts hapa then tujadili kwa uwazi kama ilivyokuwa JF kabla haijauzwa kwa bei ya peremende.
 
Tusifurahie kuondoka kwake maana huenda analetwa hatari zaidi kwakuwa uchaguzi upo jikoni......... Tusubiri tuone!
Hakuna lolote usitutishe ,huyo muda wake umeisha.Tunatamani na wa nchi fulani kubwa naye aondoke kwa sababu ya mienendo yao ya kutaka tufanye wanavyotaka lakini kwa bahati mbaya wakadunda.Tunaomba huyo anayekuja awe hatari zaidi ili naye aijue vizuri Tanzania ya sasa.
 
Tulisema hana muda huyo chezea JPM, hata kabla ya uchaguzi. Bado wa UK anawashiwa moto London hatachukua round. Tutaona chacha Ka-zito chijui katakuwa kanakimbilia wapi haka kakuwadi. Milango yote itafungwa na chuma cha pua. Walishindwa kina Henry Kissinger itakuwa hawa vibaka.
Sidhani kama unamfahamu Dr. Henry Kissinger, unaongea tu wewe.
 
Acheni kudanganyana, Sheria ya nchi huru hairuhusu jeshi la taifa jingine kuingia na kufanya shughuli za kiulinzi ndani ya nchi nyingine isipokuwa kwa makubaliano na manufaa baina ya nchi hizo au maamuzi ya pamoja ya baraza la Umoja wa mataifa( UNSC)

Mnakuza Sana Mambo!!
Hawapo pale kama wanajeshi ila huwa wapo kama moja ya wafanyakazi wa ubalozi wao ila wao ndio wanajijua nani ni nani
 
Hivi unatania au upo seriously? Unaanzaje wewe kujilinganisha na USA? Mna kitu gani nyinyi?
bora aondoke, mwishoni aligeuka mfitini, mwenye jeuri na kiburi dhidi ya nchi yetu.
Aligeuka mtu wa majungu mwenye kutoa matamko daily kuwa tuna korona kibao dar, halafu wakati huohuo akidai viongozi wetu hawajatoa takwimu kwa miezi kibao. sasa alijuaje tuna korona kibao bila data?

Mbona huko kwao USA siku hizi zile daily briefings juu ya hali ya korona zimeisha na hawajafanya zaidi ya wiki mbili sasa?
 
Mkuu unaongea majungu huna ushahidi wowote. I am not interested in roomer mongers. Njoo na facts hapa then tujadili kwa uwazi kama ilivyokuwa JF kabla haijauzwa kwa bei ya peremende.
Unaweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa baba yako, yaani mme wa mmako ndiye aliyempa mmako mimba yako?
 
Back
Top Bottom