Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Hivi pale ubalozini huwa pana Us Army ?
Pale pamekamilika mkuu kuna mpaka wale wanao itwa US NAVY SEAL. Ila ukienda pale huwezi jua hata ndio wenyewe maana wapo wapo tu kama vile hawapo ila ndio wapo hivyo wanasubiri mjichanganye muone shughuli yao ilivyo.
 
Tulisema hana muda huyo chezea JPM, hata kabla ya uchaguzi. Bado wa UK anawashiwa moto London hatachukua round. Tutaona chacha Ka-zito chijui katakuwa kanakimbilia wapi haka kakuwadi. Milango yote itafungwa na chuma cha pua. Walishindwa kina Henry Kissinger itakuwa hawa vibaka.
Usidhani atakayekuja ataavaa kofia ya kijani na kujikinga praise team

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aondoke tu huyo bibi, tayari ameishaambukizwa unafiki na tabia ya majungu na kutoheshimu mamlaka za nchi mwenyeji. Buriani bibi hata usipokuja tena kutalii hatuwezi kulia. 😡
 
Pale pamekamilika mkuu kuna mpaka wale wanao itwa US NAVY SEAL. Ila ukienda pale huwezi jua hata ndio wenyewe maana wapo wapo tu kama vile hawapo ila ndio wapo hivyo wanasubiri mjichanganye muone shughuli yao ilivyo.
Acheni kudanganyana, Sheria ya nchi huru hairuhusu jeshi la taifa jingine kuingia na kufanya shughuli za kiulinzi ndani ya nchi nyingine isipokuwa kwa makubaliano na manufaa baina ya nchi hizo au maamuzi ya pamoja ya baraza la Umoja wa mataifa( UNSC)

Mnakuza Sana Mambo!!
 
Kwa desturi za nchi yao atakuwa amefanya kazi nzuri kwa kuwa muwazi na kuwa huru kutoa mtazamo wa nchi yake khs tz....
 
Ulimpa kadi?
Huyu alikuwa mwanachadema ,aende tu,lazima itakuwa kakataliwa nchini ,badala ya kufukuzwa kama yule wa umoja wa ulaya ,wamemtunzia heshima ya kidiplomasia
 
Usidhani atakayekuja ataavaa kofia ya kijani na kujikinga praise team

Sent using Jamii Forums mobile app

Inategemea nani atashinda uchaguzi October/November kule USA. Tofautisha kati ya Republicans/Democrats. Huwezi ukafahamu msimamo wa atakayekuwa rais wa USA kwa Tanzania. Tumeishi nao kwa miaka karibu 60 kwa hiyo basi usiwe na wasiwasi na Serikali yetu, tupo imara na vizuri Zaidi, maswala mengi hususan kwenye kanda hii ie nchi zinazotuzunguka na ushawishi wa Tanzania ni nyenzo kubwa kwenye maswala ya diplomasia.
 
Acheni kudanganyana, Sheria ya nchi huru hairuhusu jeshi la taifa jingine kuingia na kufanya shughuli za kiulinzi ndani ya nchi nyingine isipokuwa kwa makubaliano na manufaa baina ya nchi hizo au maamuzi ya pamoja ya baraza la Umoja wa mataifa( UNSC)

Mnakuza Sana Mambo!!
Pale ubalozini ni sawa na nchini kwao. Wakiwa pale wanaweza kufanya chochote ndani ya eneo lao.

Kwa akili zako sijui ulielewa nini
 
Huyu alikuwa mwanachadema ,aende tu,lazima itakuwa kakataliwa nchini ,badala ya kufukuzwa kama yule wa umoja wa ulaya ,wamemtunzia heshima ya kidiplomasia
Nadhani huyu bibi alipaswa kuaga kule wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kama diplomasia inavyotaka,inaelekea huyu bibi ni kilaza fulani hivi au amefungishwa vilago.
 
Back
Top Bottom