Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Kwenye mapigano atapigana na mikono mitupu au pistol itauwa jeshi zima?
Kwani Navy seal wao Ni vimbunga?
Hujajibu maswali ambayo na shida nayo kwenye ubalozi ni nchi yako?
Hao Navy SEALs hawawezi kuwepo hapo ubalozini kwa cover nyingine bila wao kujulikana ni wanajeshi?

Watapigana na nini? Unataka kusema kwenye ubalozi hawana silaha?

Nikupe mfano mrahisi kama una kumbuka magaidi walivyovamia hotel dusitD2 Westland, kuna komando wa SAS alitokea akiwa na Dragon Gear British Special Air Service SAS Operator 1/6 scale 12 Nigel figure set, hii alitoa wapi? Na ruhusa ya kwenda hapo hotelini alitoa wapi kama si kuruhusiwa na high commission yao Kenya?

Halafu unafikiria waliitwa SPECIAL FORCES kwa kuvunja mawe na kichwa taifa? Ni lazima wawe na bunduki ndio wapigane?
 
Huyo alikuwa ni kaimu tu, atakuja balozi halisi. Ila atakayekuja atakutana na ripoti ya huyu anayeondoka. Kwa taarifa yako kwakuwa kuna utawala wa shuruti, hata atakayekuja atafanana na huyu huyu.
Hata akija huyo balozi halisi, taratibu za kidiplomasia hazibadiliki,zitambana tu, kama hakuzifuata atafuata nyayo pia! Hii ni nchi huru yenye mamlaka kamili kimataifa.
 
Hata akija huyo balozi halisi, taratibu za kidiplomasia hazibadiliki,zitambana tu, kama hakuzifuata atafuata nyayo pia! Hii ni nchi huru yenye mamlaka kamili kimataifa.

Mamlaka kamili sio kiongozi kutumia mamlaka yake kuwanyanyasa wasiomsujudia.
 
Huyu alikuwa mwanachadema ,aende tu,lazima itakuwa kakataliwa nchini ,badala ya kufukuzwa kama yule wa umoja wa ulaya ,wamemtunzia heshima ya kidiplomasia
Huyo nimetokea kumchukia sana
 
Kwanza sina huo muda wa kumchukia mtu. Pambana na chuki zako
Sasa Kama unataka nipambane na chuki zangu uli-respond kwanini comment yangu?! Wewe kaa kimya...hayakuhusu....Mimi namchukia mama huyo kwa ujinga na ujivuni anaofanya kwa TZ...ni mnafiki mkubwa...Hana heshima kabisa kwa nchi yetu...huwa anaropoka ovyo against TZ kwa issues ambazo Hana uhakika nazo..good ridance
 
bora aondoke, mwishoni aligeuka mfitini, mwenye jeuri na kiburi dhidi ya nchi yetu.
Aligeuka mtu wa majungu mwenye kutoa matamko daily kuwa tuna korona kibao dar, halafu wakati huohuo akidai viongozi wetu hawajatoa takwimu kwa miezi kibao. sasa alijuaje tuna korona kibao bila data?

Mbona huko kwao USA siku hizi zile daily briefings juu ya hali ya korona zimeisha na hawajafanya zaidi ya wiki mbili sasa?
amekamilishakaziialiotumwaampwaaaooh ANAHAMISHW nchinyinginre
 
Back
Top Bottom