Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
- Thread starter
- #141
Wazungu nao wanapata corona licha ya kubarikiwa na Mungu?Mama kaamua ajiondokee asije kupata corona bure !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu nao wanapata corona licha ya kubarikiwa na Mungu?Mama kaamua ajiondokee asije kupata corona bure !
Wewe unajiheshimu Ndugu yangu?! You can't go against your own country...Nyinyi wenye nchi wenyewe hamjiheshimu halafu mnataka wengine wawape heshima.
Are you idiot ?
Ataje jina la Mhe. Magufuli hata mara moja.Ulitaka aagaje
Kwani we hiyo thamani inakupa kulipa bills?Maccm hayaoni kwamba nchi yetu kitendo cha kuwa na Kaimu Balozi ni ishara kwamba hatuna thamani mbele yao.
Anayetoa taarifa ni balozi au kaimu balozi?bora aondoke, mwishoni aligeuka mfitini, mwenye jeuri na kiburi dhidi ya nchi yetu. Aligeuka mtu wa majungu mwenye kutoa matamko daily kuwa tuna korona kibao dar, halafu wakati huohuo akidai viongozi wetu hawajatoa takwimu kwa miezi kibao. sasa alijuaje tuna korona kibao bila data?
Mbona huko kwao USA siku hizi zile daily briefings juu ya hali ya korona zimeisha na hawajafanya zaidi ya wiki mbili sasa?
Alitaka aage hivi..Ulitaka aagaje
Hahahahaha dah Hahahahaha aise umetisha saanaKumbe unacho kiandika hukijui kumbe! Wewe aliye kuambia kuwa komando anafundishwa kutegemea bunduki peke yake ni nani? Na kuhusu bunduki hizohizo za kwenu mlizo kuja nazo ndizo atakazo tumia kuwamalizeni.
Unaweza ukaona ni kama moves naelezea Ila katika uhalisia ndio iko hivyo yaani.
kenya wa Base yao kuwa muelewaHujajibu maswali ambayo na shida nayo kwenye ubalozi ni nchi yako?
Hao Navy SEALs hawawezi kuwepo hapo ubalozini kwa cover nyingine bila wao kujulikana ni wanajeshi?
Watapigana na nini? Unataka kusema kwenye ubalozi hawana silaha?
Nikupe mfano mrahisi kama una kumbuka magaidi walivyovamia hotel dusitD2 Westland, kuna komando wa SAS alitokea akiwa na Dragon Gear British Special Air Service SAS Operator 1/6 scale 12 Nigel figure set, hii alitoa wapi? Na ruhusa ya kwenda hapo hotelini alitoa wapi kama si kuruhusiwa na high commission yao Kenya?
Halafu unafikiria waliitwa SPECIAL FORCES kwa kuvunja mawe na kichwa taifa? Ni lazima wawe na bunduki ndio wapigane?
Watanzania hatuipendi Tanzania kiasi tunawaachia wachache waichezee Tanzania wanavyopenda.Mungu waangamize wasio ipenda Tanzania yetu.
Kuna watanzania walijaribu kuichezea Tanzania pale kibiti walisagwa kama sisimizi.amani na utulivu wa Tanzania unalindwa kwa uwezo wa Allah muumba mbingu na nchi na hakuna shetani wa kuichezea Tanzania.Watanzania hatuipendi Tanzania kiasi tunawaachia wachache waichezee Tanzania wanavyopenda.
Acha ushabiki, mabalozi wanabadilishwa kila baada ya miaka mitatu. Tanzania huwa haibadilishi kwa kuwa haina hela.Tulisema hana muda huyo chezea JPM, hata kabla ya uchaguzi. Bado wa UK anawashiwa moto London hatachukua round. Tutaona chacha Ka-zito chijui katakuwa kanakimbilia wapi haka kakuwadi. Milango yote itafungwa na chuma cha pua. Walishindwa kina Henry Kissinger itakuwa hawa vibaka.
Unaonyesha ujinga ulio nao kwa kuwa Marekani wana policy ya kubadilisha au kumhamisha balozi kila baada ya miaka mitatuHuyu alikuwa mwanachadema ,aende tu,lazima itakuwa kakataliwa nchini ,badala ya kufukuzwa kama yule wa umoja wa ulaya ,wamemtunzia heshima ya kidiplomasia
Kwa hiyo military (radar)defence system ya Tz inalinda maeneo yote isipokuwa balozi za nchi za nje?Pale ubalozini ni sawa na nchini kwao. Wakiwa pale wanaweza kufanya chochote ndani ya eneo lao.
Kwa akili zako sijui ulielewa nini
Aende kwao kusiko na coronaMama kaamua ajiondokee asije kupata corona bure !
Alikua anakaimu nafasi gani?,nini maana ya kukaimu?Kumbuka kwamba huyu hakuwa balozi kamili, alikuwa anakaimu tu.