Tulisema hana muda huyo chezea JPM, hata kabla ya uchaguzi. Bado wa UK anawashiwa moto London hatachukua round. Tutaona chacha Ka-zito chijui katakuwa kanakimbilia wapi haka kakuwadi. Milango yote itafungwa na chuma cha pua. Walishindwa kina Henry Kissinger itakuwa hawa vibaka.
Alikua anakaimu nafasi ya balozi wa Marekani hapa nchini. Kukaimu ni kitendo cha kushika madaraka/nafasi ya kazi kwa muda, wakati mhusika hayupo ofisini.Alikua anakaimu nafasi gani?,nini maana ya kukaimu?
Alikua anakaimu nafasi ya balozi wa Marekani hapa nchini. Kukaimu ni kitendo cha kushika madaraka/nafasi ya kazi kwa muda, wakati mhusika hayupo ofisini.
Balozi wa Marekani anahusikaje na Uchaguzi? Msitupangie Mambo ya nchi yetuTusifurahie kuondoka kwake maana huenda analetwa hatari zaidi kwakuwa uchaguzi upo jikoni......... Tusubiri tuone!
Acha ushabiki, mabalozi wanabadilishwa kila baada ya miaka mitatu. Tanzania huwa haibadilishi kwa kuwa haina hela.
Kweli kabisa, vichwa vigumu vinavyoamini balozi wa Marekani akiondoka baada ya kumaliza muda wake ni Magufuli kamfukuza akijimwambafy kwa Marekani! What a primitive thought!Ndivyo ulivyo kariri, kuna vichwa vugumu sana hapa duniani.
Kweli kabisa, vichwa vigumu vinavyoamini balozi wa Marekani akiondoka baada ya kumaliza muda wake ni Magufuli kamfukuza akijimwambafy kwa Marekani! What primitive thought!
Sawa basi. Magufuli kamfukuza Balozi wa Marekani toka Tanzania. Furahi kanywe bia basi ukirudi imba Magufuli oyeee kwa mkeo.Utamchukia JPM lakini kwa uzuzu wako huwezi kumfanya kitu chochote, yeye ndiye rais upende usipende. Imekula kwako big time. Sisi tunakula matango tu.
Hiki ni kipindi cha uchaguzi, kama anajiona anafaa kuongoza au ana chama kinachoweza kufanya makubwa zaidi ya awamu hii, basi achukue fomu aje atushawishi kwa kuuza sera zake mwezi October, vinginevyo anaonekana anajua kulalamika tu.Kama shauri lake litakuwa dhidi ya huyo anayemlalamikia, mahakama pia haitamsaidia.
Karatasi pekee haitompa nafasi ya uongozi.Hiki ni kipindi cha uchaguzi, kama anajiona anafaa kuongoza au ana chama kinachoweza kufanya makubwa zaidi ya awamu hii, basi achukue fomu aje atushawishi kwa kuuza sera zake mwezi October, vinginevyo anaonekana anajua kulalamika tu.
👌👏Kwani we hiyo thamani inakupa kulipa bills?
Hebu acheni race inferiority.
Wetu weusi tunajidharau sana mpaka tunaboa
Jipe kwanza wewe mwenyewe thamani ndio mwingine aakupe thamani unayotaka
Shinikizo.Mungu wabariki Wazungu