Kaimu RPC Mwanza: Risasi zilipigwa hewani bahati mbaya ikampata mtu Mmoja na kumwua...

Kaimu RPC Mwanza: Risasi zilipigwa hewani bahati mbaya ikampata mtu Mmoja na kumwua...

Labda na rBc barlow na yeye zilipigwa hewani halafu moja ikampata kwa bahati mbaya!!
 
hapa patamu,yan risasi ilikaidi badala ya kwenda juu ikamfuata machinga kweli hizi risasi lazima zichunguzwe,dah Matola naye anafuata mlemle.
Labda uchunguzi wa daktari uonyeshe kuwa risasi ilimpiga utosini,otherwise it does not make any sense
 
hapa patamu,yan risasi ilikaidi badala ya kwenda juu ikamfuata machinga kweli hizi risasi lazima zichunguzwe,dah Matola naye anafuata mlemle.
Kama iltoka juu na kusababisha kifo itakuwa ilimpata utosini
 
Huyu RPC ana weweseka!!labda kama machinga alikuwa anaelea angani ndio risasi ikampata...!!hawa polisi wana matatizo gani?kama Senso!!
 
Back
Top Bottom