Kwanini hii Comment yako hukuitoa siku ile ile nilipoandika huu uzi na umengojea hadi jana Niyonzima katangazwa rasmi ndiyo unajifanya kunishobokea? Pumbavu! Basi kwa taarifa yako tu na kwa wale Wapumbavu wenzio wote mliodhani kuwa nilikurupuka kuandika au kuanzisha huu uzi ni kwamba kuna uwezekano tena mkubwa mno kuwa huu uzi wangu uliweza kuwashtua Viongozi na kuharakisha wao kumalizana na Haruna Niyonzima hadi akasajiliwa rasmi. Siku zote Uandishi huwa unakuwa na dhana pana ila moja yake ni kuleta positive impact juu ya jambo husika au kufanya alert kwa Wahusika ili waamke na wafanye kile wanachotakiwa kufanya. Binafsi wakati wengi wenu humu kutokana na Upumbavu wenu mnaona kuwa GENTAMYCINE nimeumbuka basi kwa taarifa yenu najiona ni Mshindi kwakuwa lengo langu la huu uzi limefanikiwa kwa 100% na hatimaye sasa Mnyarwanda mwenzangu tena tunayetoka Mkoa mmoja wa Gisenyi huko nchini Rwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima amesajiliwa na Timu yangu ninayoipenda ya Simba Sports Club.
Mwisho nizidi tu kusisitiza kuwa ukiwa na akili ndogo au fupi hasa humu Jamvini basi siku zote utashindwa kumuelewa GENTAMYCINE ila ili unielewe Mimi yakupasa uwe na uwezo mkubwa sana wa Kufikiri kwani maandiko yangu mengi huwa yanamtaka Mtu kujifikirisha zaidi na siyo kukurupuka.
Nimemaliza na ujumbe huu naomba ujitahidi uwafikishie na Wapumbavu wenzio wote.