adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kiswahili wewe Lusha ni kitu gani?Masaa 48 tayari... lusha bomu asee
Kiswahili siyo kiswahili, wewe vipi?
Huo ni mguu na kiatu cha Nd'aw a.k.a Mzee wa Power Bank, I presume!
Mbumbumbu fc
Mbumbumbu fc
Mbona kama kaweka akiba ya maneno, maana hilo bomu hatukulisikia@Gentamicyne jifunze kuweka akiba ya maneno, MANULA na NIYONZIMA wote ni wachezaji halali wa SIMBA FC@
Lazima una undug na moja ya mawazir wapumbav !!Narudia tena kusema enyi Kaimu Viongozi wa Simba SC Salim Abdallah a.k.a try again na mwenzako ' Mtani ' wangu wa Kihaya Idi Kajuna a.k.a tajiri kijana nawapa muda wa Saa 24 au 48 tu zijazo waambieni ukweli wana Simba SC kuhusu Wachezaji Haruna Niyonzima na Aishi Manula kabla sijaja humu na taarifa ya ukweli kabisa kuhusu wao na jinsi mnavyotudanganya kila uchao.
Semeni ukweli ili muwe huru.
Nawasilisha.
Lazima una undug na moja ya mawazir wapumbav !!
Mbona kama kaweka akiba ya maneno, maana hilo bomu hatukulisikia
Uwezo wako wa akili wa kupambana na Mimi ni mdogo sana hivyo nikusihi tu kwamba endelea kupambana na hao Wapubavu wenzio ila nisisitize tu tena kwamba kwa huu uzi wangu na kilichofanyika kwa Niyonzima Mimi GENTAMYCINE najiona Mshindi na ni mwenye furaha sana.
Ficha ujinga wako......Kwanini hii Comment yako hukuitoa siku ile ile nilipoandika huu uzi na umengojea hadi jana Niyonzima katangazwa rasmi ndiyo unajifanya kunishobokea? Pumbavu! Basi kwa taarifa yako tu na kwa wale Wapumbavu wenzio wote mliodhani kuwa nilikurupuka kuandika au kuanzisha huu uzi ni kwamba kuna uwezekano tena mkubwa mno kuwa huu uzi wangu uliweza kuwashtua Viongozi na kuharakisha wao kumalizana na Haruna Niyonzima hadi akasajiliwa rasmi. Siku zote Uandishi huwa unakuwa na dhana pana ila moja yake ni kuleta positive impact juu ya jambo husika au kufanya alert kwa Wahusika ili waamke na wafanye kile wanachotakiwa kufanya. Binafsi wakati wengi wenu humu kutokana na Upumbavu wenu mnaona kuwa GENTAMYCINE nimeumbuka basi kwa taarifa yenu najiona ni Mshindi kwakuwa lengo langu la huu uzi limefanikiwa kwa 100% na hatimaye sasa Mnyarwanda mwenzangu tena tunayetoka Mkoa mmoja wa Gisenyi huko nchini Rwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima amesajiliwa na Timu yangu ninayoipenda ya Simba Sports Club.
Mwisho nizidi tu kusisitiza kuwa ukiwa na akili ndogo au fupi hasa humu Jamvini basi siku zote utashindwa kumuelewa GENTAMYCINE ila ili unielewe Mimi yakupasa uwe na uwezo mkubwa sana wa Kufikiri kwani maandiko yangu mengi huwa yanamtaka Mtu kujifikirisha zaidi na siyo kukurupuka.
Nimemaliza na ujumbe huu naomba ujitahidi uwafikishie na Wapumbavu wenzio wote.