Kaimu Viongozi wa Simba SC semeni ukweli kuhusu Niyonzima na Manula la sivyo nalipua bomu muaibike

Huyu Simba mwenzetu huwa sijui anawaza nini muda mwingine..!

Tuwe na utaratibu wa kuwa na imani na viongozi wetu mkuu
 
4a27b2d5fc8183608d3cf41fec0319cd.jpg
 
Narudia tena kusema enyi Kaimu Viongozi wa Simba SC Salim Abdallah a.k.a try again na mwenzako ' Mtani ' wangu wa Kihaya Idi Kajuna a.k.a tajiri kijana nawapa muda wa Saa 24 au 48 tu zijazo waambieni ukweli wana Simba SC kuhusu Wachezaji Haruna Niyonzima na Aishi Manula kabla sijaja humu na taarifa ya ukweli kabisa kuhusu wao na jinsi mnavyotudanganya kila uchao.

Semeni ukweli ili muwe huru.

Nawasilisha.
Lazima una undug na moja ya mawazir wapumbav !!
 
Kwanini hii Comment yako hukuitoa siku ile ile nilipoandika huu uzi na umengojea hadi jana Niyonzima katangazwa rasmi ndiyo unajifanya kunishobokea? Pumbavu! Basi kwa taarifa yako tu na kwa wale Wapumbavu wenzio wote mliodhani kuwa nilikurupuka kuandika au kuanzisha huu uzi ni kwamba kuna uwezekano tena mkubwa mno kuwa huu uzi wangu uliweza kuwashtua Viongozi na kuharakisha wao kumalizana na Haruna Niyonzima hadi akasajiliwa rasmi. Siku zote Uandishi huwa unakuwa na dhana pana ila moja yake ni kuleta positive impact juu ya jambo husika au kufanya alert kwa Wahusika ili waamke na wafanye kile wanachotakiwa kufanya. Binafsi wakati wengi wenu humu kutokana na Upumbavu wenu mnaona kuwa GENTAMYCINE nimeumbuka basi kwa taarifa yenu najiona ni Mshindi kwakuwa lengo langu la huu uzi limefanikiwa kwa 100% na hatimaye sasa Mnyarwanda mwenzangu tena tunayetoka Mkoa mmoja wa Gisenyi huko nchini Rwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima amesajiliwa na Timu yangu ninayoipenda ya Simba Sports Club.

Mwisho nizidi tu kusisitiza kuwa ukiwa na akili ndogo au fupi hasa humu Jamvini basi siku zote utashindwa kumuelewa GENTAMYCINE ila ili unielewe Mimi yakupasa uwe na uwezo mkubwa sana wa Kufikiri kwani maandiko yangu mengi huwa yanamtaka Mtu kujifikirisha zaidi na siyo kukurupuka.

Nimemaliza na ujumbe huu naomba ujitahidi uwafikishie na Wapumbavu wenzio wote.
 
Mafuluto Uwezo wako wa akili wa kupambana na Mimi ni mdogo sana hivyo nikusihi tu kwamba endelea kupambana na hao wenzio ila nisisitize tu tena kwamba kwa huu uzi wangu na kilichofanyika kwa Niyonzima Mimi GENTAMYCINE najiona Mshindi na ni mwenye furaha sana.
 
Uwezo wako wa akili wa kupambana na Mimi ni mdogo sana hivyo nikusihi tu kwamba endelea kupambana na hao Wapubavu wenzio ila nisisitize tu tena kwamba kwa huu uzi wangu na kilichofanyika kwa Niyonzima Mimi GENTAMYCINE najiona Mshindi na ni mwenye furaha sana.

Ni mshindi unajiona ndo maana tunasema utakuwa lofa wa kibanyamulenge tuu ! Hata yule mama mhenga anayejifanya simba sana ni mshindi km wewe tuu !!
 
Kwanini hii Comment yako hukuitoa siku ile ile nilipoandika huu uzi na umengojea hadi jana Niyonzima katangazwa rasmi ndiyo unajifanya kunishobokea? Pumbavu! Basi kwa taarifa yako tu na kwa wale Wapumbavu wenzio wote mliodhani kuwa nilikurupuka kuandika au kuanzisha huu uzi ni kwamba kuna uwezekano tena mkubwa mno kuwa huu uzi wangu uliweza kuwashtua Viongozi na kuharakisha wao kumalizana na Haruna Niyonzima hadi akasajiliwa rasmi. Siku zote Uandishi huwa unakuwa na dhana pana ila moja yake ni kuleta positive impact juu ya jambo husika au kufanya alert kwa Wahusika ili waamke na wafanye kile wanachotakiwa kufanya. Binafsi wakati wengi wenu humu kutokana na Upumbavu wenu mnaona kuwa GENTAMYCINE nimeumbuka basi kwa taarifa yenu najiona ni Mshindi kwakuwa lengo langu la huu uzi limefanikiwa kwa 100% na hatimaye sasa Mnyarwanda mwenzangu tena tunayetoka Mkoa mmoja wa Gisenyi huko nchini Rwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima amesajiliwa na Timu yangu ninayoipenda ya Simba Sports Club.

Mwisho nizidi tu kusisitiza kuwa ukiwa na akili ndogo au fupi hasa humu Jamvini basi siku zote utashindwa kumuelewa GENTAMYCINE ila ili unielewe Mimi yakupasa uwe na uwezo mkubwa sana wa Kufikiri kwani maandiko yangu mengi huwa yanamtaka Mtu kujifikirisha zaidi na siyo kukurupuka.

Nimemaliza na ujumbe huu naomba ujitahidi uwafikishie na Wapumbavu wenzio wote.
Ficha ujinga wako......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom