Wacheni kupotesha watu. Sera ya znz ni kumtibu Kila mzanisbar Bure na Mfuko wa bima ya afya kwa kuahirikia.na Hazina ZNZ wanalipia ghrama z matibabu. Sasa kama huna bima basi inakuwa na matatibabu card na unakuta hozo matibabu card mpaka wakenya , wangazija au mtu makaai yak ni TMorogoro lakini angakuja hospital na matatibabu card...Ili uwe mzanziar kwa tafairi y Sasa uwe na cheti Cha kuzaliwa znz, we na kitambilisho Cha mzanzibar na kama huna vyote Mzee wako mmoja awe na cheti vhaa kuzaliwa Cha znz au kitambilisho Cha mzanzibari.. Sasa kwa tafairi yetu ya Sasa kama wewe ni mtanzania na umekaa znz zaido ya miaka 3 uaruhusika kupata kitambilisho Cha makaai na wapo wengi wanavyo na asilimia.kibwa sana ya watanganyika wnaoshi znz wanzo.kadi za mzanzibari...Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar.
Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti mbalimbali.
“Mtu ambaye sio Mzanzibar anakwenda katika hospitali zetu anaonesha matibabu kadi, pili Watu kuzuiwa nadhani nilitoa maelezo sana, sio ZHF inaanza bali inaendelea kuwasajili wengine ambao sio wa sekta ya umma”
“Wakati Wanachama wa ZHF wakiendelea kusajiliwa kulikuwa na Matibabu Kadi zikitolewa unakwenda kwa Sheha unachukuliwa taarifa zako unakwenda hospitali hakuna anayekurudisha ilo moja, la pili kilichokuwa kikibainika kwa wenzetu wa hususan kwa ngazi ya Masheha si waaminifu, Mtu si Mzanzibar anakwenda kwenye hospitali zetu anaonesha matibabu kadi na wale waliokuwa wanakaa pale wanamwambia atoe kitambulisho cha Mtanzania”
“Bajeti yetu ya trilioni 8 tutaweza kuwatibu Watu milioni 60 ? Tumeona wengine sio Wazanzibar wanatibiwa kwa kutumia matibabu kadi,”amesema Kaimu Waziri wa Afya.
Chanzo millard ayo
N.B: Huyu mama tukumbuke alikuwa waziri wa fedha katika serikali ya Muungano
Sas tujiulize jee mtu anayetoka ZNZ kuja Tanzania bara anatiiwa Bure? Jib analipa sawa na raia mwengine na kama na hakuna discount ya ghatama. Lakini kilichotokea hivi Sasa watu wanafukia maji namiuguaya matibabu znz na wengine wamekuwa kuja kuhamia znz kwa sababu TU anahitaji dialysis kwa sababu znz ni Bure. Imefika stage hivi Sasa watu wnatplew kwa machelankuyoka kwenye boti na wnapelekwa hospital moja kw moja
Na tujiulize afya ni jamno la Muungano?