Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Wacheni kupotesha watu. Sera ya znz ni kumtibu Kila mzanisbar Bure na Mfuko wa bima ya afya kwa kuahirikia.na Hazina ZNZ wanalipia ghrama z matibabu. Sasa kama huna bima basi inakuwa na matatibabu card na unakuta hozo matibabu card mpaka wakenya , wangazija au mtu makaai yak ni TMorogoro lakini angakuja hospital na matatibabu card...Ili uwe mzanziar kwa tafairi y Sasa uwe na cheti Cha kuzaliwa znz, we na kitambilisho Cha mzanzibar na kama huna vyote Mzee wako mmoja awe na cheti vhaa kuzaliwa Cha znz au kitambilisho Cha mzanzibari.. Sasa kwa tafairi yetu ya Sasa kama wewe ni mtanzania na umekaa znz zaido ya miaka 3 uaruhusika kupata kitambilisho Cha makaai na wapo wengi wanavyo na asilimia.kibwa sana ya watanganyika wnaoshi znz wanzo.kadi za mzanzibari...
Sas tujiulize jee mtu anayetoka ZNZ kuja Tanzania bara anatiiwa Bure? Jib analipa sawa na raia mwengine na kama na hakuna discount ya ghatama. Lakini kilichotokea hivi Sasa watu wanafukia maji namiuguaya matibabu znz na wengine wamekuwa kuja kuhamia znz kwa sababu TU anahitaji dialysis kwa sababu znz ni Bure. Imefika stage hivi Sasa watu wnatplew kwa machelankuyoka kwenye boti na wnapelekwa hospital moja kw moja
Na tujiulize afya ni jamno la Muungano?
 
Ni uhalisia ila kuna mambo hayatakiwi kusemwa kwa sauti kubwa sana, ni kunong'onezana tu. Ni kama vile CCM wajitokoze waseme huwa wanagawa awamu za urais galatia-kobaz-galatia-kobaz...

Binafsi sijaona shida.
Aliyeliruhusu baraza la wawakilishi alijua fika maada zitazazozungumziwa ni kuhusu maslahi ya Zanzibar na Wazanzibari. Sawa sote ni watanzania ila ku na ubaya wao kulinda uzanzibari wao ?..

Mimi naona ni sawa tu ili upande wa pili wajitafakari ni nini wanachokitaka zaidi. Utanzania ama utanganyika
 
Kilichopotoshwa hapo ni kipi?!
 
Mwandiko wa elimu ya zenji kabisa huu😁😁😁,na hapo unakuta ume edit kabisa andiko lako!! Ndio maana huwa sishangai wilaya za Zanzibar ndio huwa zinakuwa za mwisho kwenye matokeo ya NECTA
 
Kaka upo tooo logical in a world full of emotions.
 
Common sense is not so common!
Hizi ni nyakati za kuwaunganisha watanzania zaidi na zaidi.
Kauli za utengano ni mbaya kuliko vitendo.
Tanzania ni nchi moja 97% ikiwa ni Tanganyika (Bara).
Wenye akili washauri pande zote za muungano zitumie kauli na matendo ya hekima na busara.
 
Huyu ndio aliandamana na raid kwenye ziara ya kores wakakopa pesa kwa ajili ya wizara ya afya zanzibar wakati sio jambo la muungano, huo mkopo unalipwa na watanganyika, tukiongea muungano haufai kuna watu wanqjifanya watanzania wakati wanaoumia ni watanganyika.
Wqlikopa bilion 422.
 
Alikuwa premier ligi kumbe Siku hizi Yupo championship anaharisha huku
 
Twende mbele turudi nyuma haya mambo yote ameyataka MABEYO.
Kipindi cha jiwe hawa wote walikuwa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…