Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Majitu ya pwani ni malegelege kuanzia akili mpaka mwili

Wameuza ufahamu kwa majini hakuna walichobakiwa nacho

Msipojipata mmepatikana
 
Safi sana Zanzibar
 
Hongereni sana wazanzibar kwa Kujilinda dhidi ya Maamuma na makafiri wa Tanganyika
 
Mwandiko wa elimu ya zenji kabisa huu😁😁😁,na hapo unakuta ume edit kabisa andiko lako!! Ndio maana huwa sishangai wilaya za Zanzibar ndio huwa zinakuwa za mwisho kwenye matokeo ya NECTA
Bro ndiyo mwisho wa akili yako inavyokutuma baada ya kujadili content tunajadili typo... Kitu kimona ambacho hukijui Nina uhakika elimu. Yangu hufikii kwa upupu ulioandika. Na angalia post zangu tangu nilipojiunga a JF mpaka Leo utajua Mimi ni mtu wa aina Gani. Lakini nikiangalia zako nakuona kama ni wale wanao pokea posho kutoka kwa Maria Sarungi .. what a turd!
 
WaTanganyika wanapigwa spana kila kona na Wazanzibari LAKINI hawakomi... Bado WaTanganyika wanajipa matumaini ipo siku Zanzibar itakuwa
 
Watangayika ndio wapumbavu full stop
Mm maoni yangu ni kuwa ndg zetu waislam Watanganyika ndiyo hutuangusha. Wao kwa kuona Wazanzibari kuwa ni waislamu basi huona hao ndiyo ndg zao na si sisi watanganyika wenzao ambao siyo waislamu. Mfano mzuri ona Sheikh Mwaipopo anavyowatetea wazanzibari kwenye Youtube channel yake.
 
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar.

Saada ametoa kauli hiyo leo Juni 9, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti mbalimbali.

“Mtu ambaye sio Mzanzibar anakwenda katika hospitali zetu anaonesha matibabu kadi, pili Watu kuzuiwa nadhani nilitoa maelezo sana, sio ZHF inaanza bali inaendelea kuwasajili wengine ambao sio wa sekta ya umma”

“Wakati Wanachama wa ZHF wakiendelea kusajiliwa kulikuwa na Matibabu Kadi zikitolewa unakwenda kwa Sheha unachukuliwa taarifa zako unakwenda hospitali hakuna anayekurudisha ilo moja, la pili kilichokuwa kikibainika kwa wenzetu wa hususan kwa ngazi ya Masheha si waaminifu, Mtu si Mzanzibar anakwenda kwenye hospitali zetu anaonesha matibabu kadi na wale waliokuwa wanakaa pale wanamwambia atoe kitambulisho cha Mtanzania”

“Bajeti yetu ya trilioni 8 tutaweza kuwatibu Watu milioni 60 ? Tumeona wengine sio Wazanzibar wanatibiwa kwa kutumia matibabu kadi,”amesema Kaimu Waziri wa Afya.
#MillardAyoUPDATES
 
Trillion nane Zanzibar wanatoa wapi, zaidi ya nusu ni makusanyo kutoka Tanganyika, huu muungano sioni na wala sijawahi ona faida yake, nina uhakika alichofanya October 29 asingewafanyia wazanzibari
 
Xenophobia ilianza kupitia hisia za Wazanzibari sasa zinageuka rasmi kwa kasi kuwa matendo. Upendeleo unaofanyika hivi sasa wa kugawa sawa kwa sawa wa rasilimali za nchi ndio unaowapa kiburi.

Wananufaika sana na uchache wao kulinganisha na wingi wa Watanganyika, na hivyo kuanza kuwadharau wazi wazi na hata kuthubutu kumuita kiongozi mkuu kimamlaka wa Kitanganyika Yuda msaliti.
 
Naona yupo sahihi, kwasababu hata kama ni huku bara, mtanzania huyo huyo hawezi kutibiwa bure.

Wakati Wazanzibar wanalalamikia muungano, watanganyika tuliona kama tunafaidi sana. Sasa macho yameanza kufunguka.
 

Watanganyika wanapotosha sana.

Mosi: Afya sio suala la muungano. Kwa muktadha huo lazima kuwe na utaratibu. Na nyerere alielewa.
Pili: Kwa miaka mingi sasa Uzanzibari , limeondoshwa neno asili ili kuepuka huo ubaguzi.
Tatu: Fahamu nani Mzanzibari? Mzanzibari ni yeyote mwenye kitambulisho cha mzanzibari, hapa watanganyika kukipata ni rahisi zaidi kuliko wazanzibari asili wanavyoweza kuvipata.
NNE: Tanganyika matibabu sio bure. Wazanzibari wanalipa.
TANO:Haya ni mambo yamejadiliwa sana ila watanganyika hawakuyatia maanani kwa sababh raisi wa JMT hakua mzanzibari. ILA kuna khofu ya nini sasa?
SITA: Kuna kiburi tutakata umeme,tutafukuza wazenji. Yote ya nini? Ndio maana zanzibar chini ya mwinyi inatafuta umeme mbadala na inajenga makazi anajua kuna wajinga huko mbele watasumbua.
SAba: Dr Mkuya ameeleza wazi hapo, ili kuondoa huo mnaodhani ubaguzi , wameona kila raia awe na bima ya zanzibar.
Na Mwisho watanganyika someni mambo ya muungano.
 
Je Wabara wanao fubazia Visiwani na Wa Visiwani wanao fubazia Bara..?!!!Je
 
Sisi Watanganyika ndie mabunyenye wacha tupigwe tu
Ukifika sehemu ya kutetea haki za watanganyika huku kiongozi mkuu wa muislam. Wenzetu waislam wanakataa kuungana na wadai haki wanamuunga mkono muislam mwezake hata kama anaathiri haki zao kama watanganyika.
 
Wapo sahihi kabisa , sababu hawakutunga Sheria zao chooni .

Na sisi mainland ndio tunashida na muungano mbona Sudan waligawana Leo hii washatengana ya Kusini Juba na ya Khartoum . Walianzisha mchakato na kupiga kura kuhusu kugawana basi wakagawana , Mimi naimani waZanzibar Leo kesho wanatamani watoke kwenye muungano ila Wazee wa Tanganyika hawataki kusikia muungano kuvunjika
 
Ukifika sehemu ya kutetea haki za watanganyika huku kiongozi mkuu wa muislam. Wenzetu waislam wanakataa kuungana na wadai haki wanamuunga mkono muislam mwezake hata kama anaathiri haki zao kama watanganyika.
Wako sahihi , sababu wanaona Kuna element za chuki za kidini . Watetezi wa haki wangekuwa straight katika kupigana haki bila kuingizia ajenda za udini Waislamu nao wangekuwa straight katika kuunga mkono .

Nina ushahidi na mifano mingi watu wanatukana dini ya Uislamu baada kujikitita kwenye hoja za msingi mafano humu utasikia "tatizo Elimu yake ya madrasa" na kejeli nyingine sasa unategemea Muislamu awe happy kuwa na watu wanaoshambulia dini yake katika kupambania haki badala ya kujikita kwenye hoja za msingi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…