Zanzibar miaka yote ikijilisha yenyewe , ni hivi karibuni tu baada ya kuzidiwa na wahamiaji kutoka Tanganyika na nchi nyengine Za Afrika Mashariki ndiyo tukaanza kuagiza chakula bara. Hicho chakula bahati mbaya hamtupi bure , tunanunua , Kama hamtotuuzia mazao yenu yatajiozea sokoni na mtakosa ajira kwa kukosa kufikiri
Hata niwe gen x , tumesema zamani tunataka nchi yetuWewe utakuwa mzanzibar gen-z
Vipi na bara wakisema wamechoka kuzalisha chakula kuilisha Zanzibar, wachoka kuzalisha umeme na kuusambaza kwenda Zanzibar na vitu vingine kibao...
Mlaumu Raisi wenu Karume Kenge ndiye aliye Saini huo Muungano:Kama mnavyojiona nyinyi Waroma na mayahudi au vipi ? Anayechochea machafuko ni nyinyi mliotuvamia 1964 na kuondosha kiti chetu UN . Mkatuibia pesa zetu Za EA Community nä kutuchukulia pesa zetu kule Bank ya London kugharamia vita vyenu na Uganda
Mlaumu Raisi wenu Karume Kenge ndiye aliye Saini huo Muungano:
Bila kutushirikisha Watanganyika:
Alijua tungelimkatalia
Kwenu tanganyika matibabu munalipa lakini Zanzibar munataka mutibiwe bure poleni sanaWazanzibar hawatupendi
Kakojowe ukalaleNdo maana Mungu aliwaweka pale kisiwani na viroho vyao vibaya
AiseeeHakuna mzanzibar mwenye utu au roho nzuri, bado hajazaliwa.
Tungekuwa na chuki msingepata chakula kutoka TanganyikaKuliko nyie watanganyika, mna chuki na roho mbaya.
Chakula mnawapa bure? Umeme mnawapa bure?
Na hao wanaotibiwa wanatibiwa pasipo gharama yeyote?
Hii ni nchi moja, kama waziri angekuwa na ushauri mzuri basi angeshauri mifumo ya bima za afya bara na visiwani iweze kusomana...
Kuna watu hawaelewi hadi uwaeleze nafasi yao.Matusi ndio mwisho wa kushindwa hoja
Pengine umezaliwa juzi. Nimekaa huko toka '82, unieleze mchele mnalima wapi, wavivu wakubwa.Zanzibar miaka yote ikijilisha yenyewe , ni hivi karibuni tu baada ya kuzidiwa na wahamiaji kutoka Tanganyika na nchi nyengine Za Afrika Mashariki ndiyo tukaanza kuagiza chakula bara. Hicho chakula bahati mbaya hamtupi bure , tunanunua , Kama hamtotuuzia mazao yenu yatajiozea sokoni na mtakosa ajira kwa kukosa kufikiri
Umekuja huku 82 umekaa kwenye kambi ya jeshi , utajua mabonde ya mpunga? Huku Pemba hwendi kilomita 2 utakuta bonde la mpunga . Sisi maisha yote hatununui Michele dukani , tunalima wenyewe.Pengine umezaliwa juzi. Nimekaa huko toka '82, unieleze mchele mnalima wapi, wavivu wakubwa.
Je mfano tukasema hakutibiwa bara Bali alitibiwa na JMT ..vipi hapo pamekaaje na kipi ni kipi hapa?Imagine huyu alikuwa waziri huku bara je hakutibiwa na nhf ?
Tulisema sana na hatukusikilizwa kwamba huu muungano si muungano, ni usanii tu Wala hamkuelewa. Ona Sasa watanganyika mnavyozodolewa na kuidhalilisha nchi yenu Tanganyika. Yaani hadi huruma sana🤔🤔Watangayika ndio wapumbavu full stop