Kaipo cha ndoa Afrika inabidi turuhusiwe kusema NITAJARIBU kuliko kusema NDIO

Kaipo cha ndoa Afrika inabidi turuhusiwe kusema NITAJARIBU kuliko kusema NDIO

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
1626415907926.png
 
Mkuu umeongeza maisha- pole. Mwambie jamaa arekebishe aandike KIAPO-hahahahhhhh
Hahahaha pole haina nafasi kwa nilichoandika,kucheka na pole?

Ngoja jamaa aamke,atarekebisha
 
Tatizo ndoa sio majaribio

Majaribio ni uchumba,kama bado unajiona uko na majaribio baki kwenye uchumba sugu
 
Cheti kinatangulia then ndio unaingia Kwenye kozi [emoji23][emoji23]

Ila Kaipo cha ndoa imenifanya nicheke mno[emoji23][emoji23]
 
Kiapo kingeondolewa kabisa katika ndoa, maana wanaokitunza kwa uaminifu dunia ya leo, unaweza kuwatafuta kwa tochi...
 
Back
Top Bottom