Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Jul 16, 2021 #2 Mie nimecheka na hiyo heading yako ya 'kaipo'
comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,019 Reaction score 6,825 Jul 16, 2021 Thread starter #3 Joanah said: Mie nimecheka na hiyo heading yako ya 'kaipo' Click to expand... Mkuu umeongeza maisha- pole. Mwambie jamaa arekebishe aandike KIAPO-hahahahhhhh
Joanah said: Mie nimecheka na hiyo heading yako ya 'kaipo' Click to expand... Mkuu umeongeza maisha- pole. Mwambie jamaa arekebishe aandike KIAPO-hahahahhhhh
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Jul 16, 2021 #4 comte said: Mkuu umeongeza maisha- pole. Mwambie jamaa arekebishe aandike KIAPO-hahahahhhhh Click to expand... Hahahaha pole haina nafasi kwa nilichoandika,kucheka na pole? Ngoja jamaa aamke,atarekebisha
comte said: Mkuu umeongeza maisha- pole. Mwambie jamaa arekebishe aandike KIAPO-hahahahhhhh Click to expand... Hahahaha pole haina nafasi kwa nilichoandika,kucheka na pole? Ngoja jamaa aamke,atarekebisha
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Jul 16, 2021 #5 Hakuna kujaribu ni ndiyo kwa kwenda mbele.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Jul 16, 2021 #6 Tatizo ndoa sio majaribio Majaribio ni uchumba,kama bado unajiona uko na majaribio baki kwenye uchumba sugu
Tatizo ndoa sio majaribio Majaribio ni uchumba,kama bado unajiona uko na majaribio baki kwenye uchumba sugu
Dolla_Mbili JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 1,207 Reaction score 2,981 Jul 16, 2021 #7 Cheti kinatangulia then ndio unaingia Kwenye kozi [emoji23][emoji23] Ila Kaipo cha ndoa imenifanya nicheke mno[emoji23][emoji23]
Cheti kinatangulia then ndio unaingia Kwenye kozi [emoji23][emoji23] Ila Kaipo cha ndoa imenifanya nicheke mno[emoji23][emoji23]
Jaiter JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 618 Reaction score 1,552 Jul 16, 2021 #8 Kiapo kingeondolewa kabisa katika ndoa, maana wanaokitunza kwa uaminifu dunia ya leo, unaweza kuwatafuta kwa tochi...
Kiapo kingeondolewa kabisa katika ndoa, maana wanaokitunza kwa uaminifu dunia ya leo, unaweza kuwatafuta kwa tochi...