Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
sasa we ulitaka azeekee azam mwache malaya akatafute madanga mengine mana ndio maisha ya wachezaji wa mpiraBado sijaelewa yaani azam wauze mchezaji mzuri mhh
Ni Mtanzania. Ni kiungo mkabaji mzuri sana akiwa kwenye ubora wake. Msimu uliopita aliichezea vizuri sana Azam Fc ila baadaye alipata majeraha yaliyomuweka nje kwa muda na hivyo kupoteza namba kwenye kikosi cha kwanza.Dogo ni raia wa nchi gani?
messi anakunja 480 grand kwa week mkuuKama.figure.uloZoandika.n kwel bas mpira unalipa.sana.
Vijana wapo bize yanga na simba
Mpaka umecomment mkuu! Kweli imekugusa sanaTufanyeni mazoezi jaman mpira unalipa
Kama.figure.uloZoandika.n kwel bas mpira unalipa.sana.
Vijana wapo bize yanga na simba
Sio kila binadamu ni mchezaji mkuu wengi wetu tunachangamsha gengeTufanyeni mazoezi jaman mpira unalipa
Juma Abushiri amekataa kwenda ubelgiji ameamua kujiunga na Yanga baada ya kupewa milioni tisini na mshahara wa milioni tano kwa mwezi.Kaizer Chiefs imemtangaza rasmi Adolf Mtasingwa kuwa kiungo wao mpya kutoka Azam FC.
View attachment 3634374
View attachment 3634372
Inaelezwa Azam FC wamemuuza nyota huyo kwa $500,000 sawa na Tsh. 1,318,696,000 akiwa amesaini mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.
Pia, AmaKhosi watamlipa mshahara wa $30,000 sawa Tsh. 79,124,940 kila mwezi, atapewa nyumba ya kuishi, kisha na $170,000 Tsh. 448,374,660 kama Sign-on fee.
Amin.. kila la kheri kwake