njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Tuliposema kwamba Ki aziz kapasua kingo za mto tuliitwa wajinga, maandazi, propaganda. Gharib alitoa millions 500 watu wakachafua madaftari wakijua kwamba kijana atakubali achukue signing fee nusu nyingine amaliziwe mwakani sasa kagoma na kutokana na jinsi walivyokuwa wamemkuza wakishirikiana na makanjanja ikabidi tu wampe yooote na kuharibu balance ya mahesabu ya kambi uturuki hivyo kupelekea juzi CEO GENIUS kabisa Senzo kuandika e mail huyo Turkey ya kuahirisha kambi lakini ilikuwa too late so lazima walipe usd 87,000 fidia yaani millions 200 au FIFA itawahusu
Wakati hayo yakijiri na wazee wa propaganda wakituaminisha kwamba haina shida kuweka kambi morogoro na kucheza na kina moro kids, mtibwa ili kujipima nguvu ..kazier chiefs wamerudisha majeshi huko kinshasa kwa wamiliki wa Fiston mayele yaani CLUBE MANIEMA wameweka dau la millions 600 na mchezaji kaahidiwa mshahara wa millions 40
Atakataa? wamiliki wake watakataa waendelee kumtoa kwa mkopo? ni suala la muda tu, kama hayo hayatoshi Daktari wa kampala mzee wa kususasusa naye last time alipigwa sound ya kwamba chukua kidogo tutamalizia signing fee iliyobaki huko mbeleni haoni dalili, kasusa simu kazima na katishia kwenda Fifa kushtaki kuna kiongozi mkubwa kapanda ndege kwenda kumbembeleza, tusubiri tuone.
Yote tisa..kumi ni kusubiri kama masharti mawili makubwa ya Ki aziz yatafanyiwa kazi.
YACOUBA ASIACHWE (2)YEYE HATAKI KULALA KAMBINI AWE ANATOKEA NYUMBANI.
HAHAHaaaaaa hilo la pili tamu sana kwa kweli naomba Mungu lifanikiwe huyu kijana awe treated tofauti na wenzake yaani star boy..poster boy fulani hivi amazing.