Kaizer Chiefs wapanda dau Kinshasa, Kampala asusa atishia kwenda FIFA

Kaizer Chiefs wapanda dau Kinshasa, Kampala asusa atishia kwenda FIFA

Jamaa hana shule kichwani ila anataka aonekane tu, sisi wazalendo tuna jukumu kubwa la kumkumbusha nafasi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pigisha kwata hawa utopwiseeee hadi waite maji mma.
 
alipigwa sound akawakubalia kiungwana sasa anashangaa hili la kumwaga manoti kwa ki aziz tena yooote..kaona ujinga huu si unajua Okwi ndiye mshauri wake? kaambiwa aache ujinga mda wake wa kuimbwa kwenye usajili ushapita akomae na hela

Mi huwa nawaambia kuwa ma pro ni wafanya biashara sio mashabiki wa timu zetu jamani[emoji18]
 
Back
Top Bottom