Kaizer Chiefs wapanda dau Kinshasa, Kampala asusa atishia kwenda FIFA

Kaizer Chiefs wapanda dau Kinshasa, Kampala asusa atishia kwenda FIFA

Trevor Noah au Idriss Elba hawahusiani na hili mkuu..yes habari inaendelea kaizer chiefs wameboresha offer kwa mchezaji na wamiliki wa mchezaji huyo yaani Maniema fc ya congo
mayele anatokea na amamilikiwa na js likasi na sio maniema
 
Nimekuelewa vizuri hapo kwa daktari wao wa kususa susa, kila wakati jamaa akienda kwao kurudi inakuwa shida, kumbe ana kinyongo bado anawadai, hii tabia utopolo walikuwa nayo sana enzi zile za mabakuli, nashangaa mpaka leo bado wanayo.

Hiyo ya kwenda kumalizia pesa zote kwa kale katoto ambacho Simba SC hawakuwa na habari nacho, hapo ndio napouona ushamba wa viongozi wa utopolo.

Wanashindana na asiyeshindana nao, mwishowe wanajiona wameshinda wanaanza kushangilia, kumbe wakienda sirini wanalia maumivu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani huoni Takadini kawa mpoleeee, anajua anakuja kuumbuka, wapiii Moro hiyoooo
 
Yule sio mzalamo. [emoji23][emoji23]

Ana uhakika na anachokisema.

By the way Jana asubuni kaingia South africa ( KAIZER CHIEFS) kukamilisha ITC ya Kambole Lazarous.
sasa ile nayo inasumbua? fans wa kaizer chiefs wamefurahi san kuutua ule mzigo...huyo unayesema siyo mzaramo pima maneno yake kwa morrison akienda simba na juzi aliporudi ujue mtu mweusi ni mweusi tu...na nagekuwa na akili timamu hata hiyo hasara ya usd 87,000 isingepatikana
 
Kwa yanga hii safari hii mtaandika yote na bado tunawasubiri tuwatembezee bahasha msimu wa ligi mkianza

Muda wa kuvaa vyupi kichwan haupo mbali mtatema Sana mate Kama wajawazito

Kuisema yanga ya msimu ujao n sawa na kumchungulia mama yako akiwa anaoga

Mtameza Sana mate ya uchungu mwaka huu

Yanga Kama unga wa ngano
 
Kwa yanga hii safari hii mtaandika yote na bado tunawasubiri tuwatembezee bahasha msimu wa ligi mkianza

Muda wa kuvaa vyupi kichwan haupo mbali mtatema Sana mate Kama wajawazito

Kuisema yanga ya msimu ujao n sawa na kumchungulia mama yako akiwa anaoga

Mtameza Sana mate ya uchungu mwaka huu

Yanga Kama unga wa ngano
Kwa huyo mbeba maboksi na mwenzake madomo?
 
Tatizo huyo Aziz FUNGUO wamemjaza MISIFA SANA
yaani mtu kambi ingegharimu usd 87,000 excluding tickets za ndege probably na drinks, foods unakosea masharti unaandika email ya kuahirisha tarehe 14 july ila itabidi ulipe ileile usd 87,000 halafu watu wanasifia eti tumemsikiliza kocha , tangu booking inafanyika june kocha hakusikilizwa, Azizi ki kawakazia kuchukua hela nusunusu wapesauka kwelikweli,wakacheze na moro kids pre season huko kijijini
 
Back
Top Bottom