Kaizer Chiefs wapanda dau Kinshasa, Kampala asusa atishia kwenda FIFA

Trevor Noah au Idriss Elba hawahusiani na hili mkuu..yes habari inaendelea kaizer chiefs wameboresha offer kwa mchezaji na wamiliki wa mchezaji huyo yaani Maniema fc ya congo
mayele anatokea na amamilikiwa na js likasi na sio maniema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani huoni Takadini kawa mpoleeee, anajua anakuja kuumbuka, wapiii Moro hiyoooo
 
Yule sio mzalamo. [emoji23][emoji23]

Ana uhakika na anachokisema.

By the way Jana asubuni kaingia South africa ( KAIZER CHIEFS) kukamilisha ITC ya Kambole Lazarous.
sasa ile nayo inasumbua? fans wa kaizer chiefs wamefurahi san kuutua ule mzigo...huyo unayesema siyo mzaramo pima maneno yake kwa morrison akienda simba na juzi aliporudi ujue mtu mweusi ni mweusi tu...na nagekuwa na akili timamu hata hiyo hasara ya usd 87,000 isingepatikana
 
Kwa yanga hii safari hii mtaandika yote na bado tunawasubiri tuwatembezee bahasha msimu wa ligi mkianza

Muda wa kuvaa vyupi kichwan haupo mbali mtatema Sana mate Kama wajawazito

Kuisema yanga ya msimu ujao n sawa na kumchungulia mama yako akiwa anaoga

Mtameza Sana mate ya uchungu mwaka huu

Yanga Kama unga wa ngano
 
Kwa huyo mbeba maboksi na mwenzake madomo?
 
Tatizo huyo Aziz FUNGUO wamemjaza MISIFA SANA
yaani mtu kambi ingegharimu usd 87,000 excluding tickets za ndege probably na drinks, foods unakosea masharti unaandika email ya kuahirisha tarehe 14 july ila itabidi ulipe ileile usd 87,000 halafu watu wanasifia eti tumemsikiliza kocha , tangu booking inafanyika june kocha hakusikilizwa, Azizi ki kawakazia kuchukua hela nusunusu wapesauka kwelikweli,wakacheze na moro kids pre season huko kijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…