Kaizer Chiefs wapanda dau Kinshasa, Kampala asusa atishia kwenda FIFA

Timu unayoizungumzia hapa ni ile inayoingiza zaidi ya bilioni 3 kutoka Azam media kwa mwaka. Sijui unawezaje kuwaingiza kwenye vistori uchwara!!! Mlisema Yanga hawezi kumchukua Djuma Shaban (akatua). Mkaja na issue ya Aziz Ki (akatua). Sasa tumewazoea
 
Kama tuliaminishwa ubingwa walichukua kwa kuhonga basi hiyo itakuwa pesa ndogo kwao kulipa.
 
Wao lengo lao ilikuwa kuwakomoa Simba
 
Hawa ni wa kuhurumia tu, walisema Mayele mbovu wa kawaida sasa hivi anatakiwa na Kaizer Chiefs na mshahara umeongezwa si Kaizer ije ichukue Kibu D wao au defensive striker wao Mugalu au kipenzi chao Mpole

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kolo moja puuzi puuzi lilisikika likibwabwaja bila ushahidi
 
Kwani Morrison akiwa Simba alikuwa anakaa wapi, marehemu Mafisango? Sidhani kama kuna sheria kwamba, wachezaji hawapaswi kukaa nje, nadhani ni suala la utaratibu. Usichukie pindi jirani yako anaponunua gari, maana, anaweza kuwa msaada wa kukuwahisha hospitali pindi utakapozidiwa!
 
Ulikuwa umepona naona kimekuanza tena, rudi hapa Milembe tuendelee kukupatia tiba!
 
Makolokolo baada ya kuzidiwa usajili Bora na yanga, mmeanza kitchen party, tulizeni mshono, ngao ya jamii ndio mtahadithiana
 

Walete tu hiyo Milioni 600.

Sisi tutaongezea milion 200, inakuwa 800 dirisha dogo Eng Hersi anaenda kuwapelekea Bechem UTD ili OKRAH atue Jangwani.

(Picha haiendani na mada)
 
Walete tu hiyo Milioni 600.

Sisi tutaongezea milion 200, inakuwa 800 dirisha dogo Eng Hersi anaenda kuwapelekea Bechem UTD ili OKRAH atue Jangwani.

(Picha haiendani na mada)
View attachment 2292984
Njaalikali ni mpaka ubongo wake una njaa, hii post keshaisahau, hawa makolokolo wana tabu Sana mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…