Kajala hii sio namna ya uvaaji katika runinga

Umeandika hivyo nikatamani sana kuuuona

Aidha mwili umesisimka na vinyweleo kusimama.

Hogo hutaki?
Wewe ni mpk uguse ndo utaamini

Bamia tamu na inatibu magonjwa sugu km vidonda vya tumbo
 
Kiukwel..mi napenda kuona wanavaa nguo zisizo na madili,sjui kwanin..sheria ikipita hii nchi itapoteza utamu na sifa yake...hyo nguo ina shida gan kwanza
 
Hivi akibakwa na Wana uchochoroni atashitaki? Kwasababu ndiye anajenga mazingira kwa kuwalingishia
Hao wabakahlji walikua wanasubiria sketi fupi ndo iwashawishi wabake? Watu mna matatizo sana, badala ya kulaumu wabakaji na tabia zao za kishetani, mnamlaumu binti eti kavaa nguo fupi. Na wanaobaka vitoto vinashawishiwaga na nini? Badili mtazamo wako tafadhali. Nyie ndo mnaowapa vichwa wabakaji.
Mbina ulaya watu wanatembea na vichupi na hawabakwi. Mxeeuuuuuuu
 
Afu huyu si juzi tu hapo alikuwa mwembamba kama mm
 
Hivi akibakwa na Wana uchochoroni atashitaki? Kwasababu ndiye anajenga mazingira kwa kuwalingishia


Abakwe kwani hapa ni Uarabuni? Watu wanaogopa kutongoza wanawake ila wanashikishana kuta na wakiona mwanamke ni kama sumu. Wakimvizia ndipo wanambaka. Tanzania tuna matatizo yetu ila tu wastaarab sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…