Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Niliangalia interview moja alikua analalamika saana kuwa alikua anapigwa sana na P funky enzi zile ana upara wake

Siku hizi ni mambo ya Brazilian hair tu

hivi ule upara wake kwani hauoti nywele? ila unampendeza sana
 
Kapata pesa akatengeneze ile nido sasa maana inafika kwenye kitovu ayarudishe yawe saa sita akikaa bila bra hutaamini kama ni yeye
 
Kapata pesa akatengeneze ile nido sasa maana inafika kwenye kitovu ayarudishe yawe saa sita akikaa bila bra hutaamini kama ni yeye
Mbuzi zimekata kamba hapo naskia kodi mgogoro...wadada wa town walikuwa wanamsema
 
Mahaba ninyongeni ngololoo ngoloo looo mwendawazimu kaingiajee
 
Huu ubuyu wa humu ni hatariiii kwa afya!!Warumi boss wangu itabidi arudi chuo cha mafunzo maana kaachwa mbaliii mnooo...
 
Huu ubuyu wa humu ni hatariiii kwa afya!!Warumi boss wangu itabidi arudi chuo cha mafunzo maana kaachwa mbaliii mnooo...

weee warumi ndo mbea originale wa kumpita hakuna sema siku hizi yuko busy busy
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…