Yaaani ikifikaga hapo namshukuru Mungu ushamba wangu umenisaidia nimefika hapa lol
Imelda nae mbeya, apo unataka kumrusha roho mama ubaya tu huna lolote, sasa apo cha ajabu nn?? Wema mwaego pole wasikuzingue hao na wewe beba mbwa wako ukauze nae sura mliman city
pfunky anakuchezea akikupa mimba ndo baas
siku moja mda kidogo nlikutana na muny mwenge lloh alichoka hatarii hapo ndo kashadampiwa
pale forodhani kuna dada mmoja nimemsahau jina alikua anatanua na mutie(rip)
alikua ana gg hosteli katutesa sana ijumaa demu anaenda kwa mzee madiba kula gudtime na rodney jumapili wanarudi zao j3skonga
aiseeehh nilikua nablow sana yaani!!
Ninashangaa kwa kuwa wapo wanaoenda pale na mabinti zao warembo tu,
why kajala kila siku?
Take care kwa binti yako hata hivyo, kama vipi fuga umbwa mkali.
usemayo ni kweli wengine ukiwaona utawaonea huruma
wamebaki umbea na majungu tu
kuna mabinti wamechezea sana shilingi chooni
leo wanajuta wengine wamebaki kua machangudoa waliokubuhu wana mihuri kila club maarufu wanajulikana na mahoteli ya kujiuza uza hovyoo
Duh umbea huu ulinipita
Ila watoto wa forondo walikuwa wanaliwa sana na masupastaa uchwara
Jamaa mmoja wa bills (sijui alikuwa anaitwa Charles yule) alikuwa anawatafunajeeee? Kwa kisingizio cha kuandaa maconcert
Hapo hawajaanza kugombea watangazaji wa clouds redio (kina terrence)
Wakati nimetoka utumwani huyu Terrence alitaka game ya pool na mimi na mwaka 2000 mchezo wa mapool ulikuwa kwenye makasino tu anajuwa nilichomfanya game tatu zote nilimchapa na demu wangu akawa na amani pale Bills, ila leo ukiniuliza pool hata mwanafunzi anaweza kunifunga niliachaga miaka mingi kucheza.

Ila still ni mzuri bana hana michirizi shape yake haina mabonde kama rift valley ana mvuto wa kiafrica bana
ila sura yake hata aweke pozi gani jamani uuuwiiiiiii, haivutiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ndio nishasema.
Wakati nimetoka utumwani huyu Terrence alitaka game ya pool na mimi na mwaka 2000 mchezo wa mapool ulikuwa kwenye makasino tu anajuwa nilichomfanya game tatu zote nilimchapa na demu wangu akawa na amani pale Bills, ila leo ukiniuliza pool hata mwanafunzi anaweza kunifunga niliachaga miaka mingi kucheza.
Heheheheh
Terrence alikuwa anagombewaje na mabinti?
Heri ulimtoa shobo
ila sura yake hata aweke pozi gani jamani uuuwiiiiiii, haivutiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ndio nishasema.
wa kawaida sanaaa
mi sioni uzuri wake