Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Alafu kumbe kajala ni MTU mzima tu anaamua kujibebisha. Sasa hivi amegeuka kuiba mabwana na kuwachuna. We MTU alikuwa na CK still akawa na nsembo wa shamimu si maana take haridhiki

Uwiiii hapa nimeshindwa kuvumilia inabidi niulize tena, nsembo huyuhuyu wa 8020 fashion
 
Huyo huyo ... Matola najua digital haikuwepo ila camera za kawaida si watu walikuwa wanapiga picha bwana?

Dinazarde ndo hivyo shogako ni changu mstaafu anaekula pensheni ya uchangu na part-time ya uchangu. Wema Ana afadhali kubwa Sana...sema tu anaipenda camera na kuzungumziwa...
Umshauri shoga ako asimtandaze mtoto hivyo Kama nyanya za masaro
 
Last edited by a moderator:
alafu kumbe kajala ni mtu mzima tu anaamua kujibebisha. Sasa hivi amegeuka kuiba mabwana na kuwachuna. We mtu alikuwa na ck still akawa na nsembo wa shamimu si maana take haridhiki

kajala rika la kina ray c yule mkubwa k
 
huyo huyo ... matola najua digital haikuwepo ila camera za kawaida si watu walikuwa wanapiga picha bwana?

dinazarde ndo hivyo shogako ni changu mstaafu anaekula pensheni ya uchangu na part-time ya uchangu. Wema ana afadhali kubwa sana...sema tu anaipenda camera na kuzungumziwa...
Umshauri shoga ako asimtandaze mtoto hivyo kama nyanya za masaro

ni ngumu ilikua kuhifadhi picha maana ht mashuleni wapiga picha walikuwa wachache
halafu mwanafunzi na camera ni ngumu sana enzi hizo
kay ametulia sasa hivi kwanza ingekua enzi hizo huyo wema ashadundwa zamani mana watoto wa kota
 
Last edited by a moderator:
Huyo paula baba ake mwenyewe huyo P.funk hana huakika kama ni mwanae, mana kila akilewa anaanza kulalamika ooh mtoto hafanani na mimi, ooh mi shombe lakini toto pure black, anasema alikuwa anampa kajala kipigo cha mwizi kay mana alikuwa anajua kajala mal.aya ndo mana na ye aliamua zaa na mke wa mtu makusudi.yani ha feel kabisa kama paula ni mtoto wake anahis alipigiwa, mana kay enz hzo alikuwa moto
 
huyo huyo ... matola najua digital haikuwepo ila camera za kawaida si watu walikuwa wanapiga picha bwana?

dinazarde ndo hivyo shogako ni changu mstaafu anaekula pensheni ya uchangu na part-time ya uchangu. Wema ana afadhali kubwa sana...sema tu anaipenda camera na kuzungumziwa...
Umshauri shoga ako asimtandaze mtoto hivyo kama nyanya za masaro

ni ngumu ilikua kuhifadhi picha maana ht mashuleni wapiga picha walikuwa wachache
halafu mwanafunzi na camera ni ngumu sana enzi hizo
kay ametulia sasa hivi kwanza ingekua enzi hizo huyo wema ashadundwa zamani mana
amekua na aliolewa kukomesha watu flani flani na pfunk na yule mbaba alikua ana uwezo
 
Last edited by a moderator:
Yap
Kipindi yupo forodhani alikuwa anatembea na majani

Nashangaa kajala nae kapita halafu wakaendelea na ushosti ( ila kajala anasifa ya kukwapua vya wenzie)

huyo ndo munira kuna na alitembea na majani nae
 
Huyo paula baba ake mwenyewe huyo P.funk hana huakika kama ni mwanae, mana kila akilewa anaanza kulalamika ooh mtoto hafanani na mimi, ooh mi shombe lakini toto pure black, anasema alikuwa anampa kajala kipigo cha mwizi kay mana alikuwa anajua kajala mal.aya ndo mana na ye aliamua zaa na mke wa mtu makusudi.yani ha feel kabisa kama paula ni mtoto wake anahis alipigiwa, mana kay enz hzo alikuwa moto

Ndo maana akirusha mabinti zake Paula hawekwiii hahaha wanamtania eti Paula wa Juma nature
 
Huyo paula baba ake mwenyewe huyo P.funk hana huakika kama ni mwanae, mana kila akilewa anaanza kulalamika ooh mtoto hafanani na mimi, ooh mi shombe lakini toto pure black, anasema alikuwa anampa kajala kipigo cha mwizi kay mana alikuwa anajua kajala mal.aya ndo mana na ye aliamua zaa na mke wa mtu makusudi.yani ha feel kabisa kama paula ni mtoto wake anahis alipigiwa, mana kay enz hzo alikuwa moto

Niliangalia interview moja alikua analalamika saana kuwa alikua anapigwa sana na P funky enzi zile ana upara wake

Siku hizi ni mambo ya Brazilian hair tu
 
Huyo huyo ... Matola najua digital haikuwepo ila camera za kawaida si watu walikuwa wanapiga picha bwana?
Dinazarde ndo hivyo shogako ni changu mstaafu anaekula pensheni ya uchangu na part-time ya uchangu. Wema Ana afadhali kubwa Sana...sema tu anaipenda camera na kuzungumziwa...
Umshauri shoga ako asimtandaze mtoto hivyo Kama nyanya za masaro

Walikutana changu muendelevu wema,,wale wale tu wakiamua kutaja waliotembea nao wanajaza basi 5 ,5
 
Last edited by a moderator:
ni ngumu ilikua kuhifadhi picha maana ht mashuleni wapiga picha walikuwa wachache
halafu mwanafunzi na camera ni ngumu sana enzi hizo
kay ametulia sasa hivi kwanza ingekua enzi hizo huyo wema ashadundwa zamani mana
amekua na aliolewa kukomesha watu flani flani na pfunk na yule mbaba alikua ana uwezo
Kumbe simba Mzee amekwepa mishale mingi eehh
 
Uwiiii hapa nimeshindwa kuvumilia inabidi niulize tena, nsembo huyuhuyu wa 8020 fashion

Alikua anatoka na Nsembo na kipindi hiko walikua bado mashoga na Wema..., ilikua mtifuano nguo kuchanika sijui wakaja kuishia wapi...
 
Back
Top Bottom