warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
-
- #101
Me yangu ndo hayo na ndio ukweli. Umbea nao kipaji yabidi uwe na uhakika na unachokisema hapa.
Likija swala linalomhusu wema warumi huwezi kuwa fair hata siku moja and thats it, hata Matola analijua hili.
Hapana binamu , Mimi naonekana kama Niko against na wema kwa kuwa watu wengi wanamuona wema kama malaika , yaan akifanya makosa wema hayaonekani lakini mastaa wengine wakifanya wanatukanwa ovyo mitandaoni ,
kuna watu wanamuona wema kama mungu mtu. Wema ana mashabiki wengi na anapendwa hakuna wa kubisha, ila na yeye ana kasoro zake kama walivyo wakina kajala. Ila watu ya wema hawayaoni , Mimi nikijaribu kuongea ya upande wake wa pili naonekana hater.
Last edited by a moderator: