Kajala na Clement Mambo Hadharani

Kajala na Clement Mambo Hadharani

Me yangu ndo hayo na ndio ukweli. Umbea nao kipaji yabidi uwe na uhakika na unachokisema hapa.
Likija swala linalomhusu wema warumi huwezi kuwa fair hata siku moja and thats it, hata Matola analijua hili.

Hapana binamu , Mimi naonekana kama Niko against na wema kwa kuwa watu wengi wanamuona wema kama malaika , yaan akifanya makosa wema hayaonekani lakini mastaa wengine wakifanya wanatukanwa ovyo mitandaoni ,

kuna watu wanamuona wema kama mungu mtu. Wema ana mashabiki wengi na anapendwa hakuna wa kubisha, ila na yeye ana kasoro zake kama walivyo wakina kajala. Ila watu ya wema hawayaoni , Mimi nikijaribu kuongea ya upande wake wa pili naonekana hater.
 
Last edited by a moderator:
Duuu kuna baadhi ya wanawake wajinga sana, yani kumbe hiki ndio kina wafanya wagombane tena huyu ni mme wa mtu. Duuuu kweli si wema wala kajala ambaye yuko timamu.

Hili swala lisinge wagombanisha.
Hivi mkuu warumi naona leo unachochea kuni,hivi ni nani kati yao yuko tayari kuyamaliza?

Hawa wajinga sana wanagombea kitu ambacho hawawezi kukimiliki.
Hivi huyu wema si yuko na diamond? Kwanini asiwe wa kwanza kutafuta suluhu? Au kwanini kajala asiwe wa kwanza kutafuta suluhu?

Hawa vichaaa wanapenda sana magazeti na kujadiliwa, kwao kila kitu ni chance.
 
Huyu demu kajala alihojiwa akasema aliwahi kumuomba wema msamaha maana alijua yeye ndo kaharibu , ila alisema hakufanikiwa yaan wema alimchomolea nje.

Wema aliwah kuongea kuwa kagombana na kajala kwa kuwa kajala alimsema vibaya kwa watu baada ya kumkopa kajala laki mbili ya show walioifanya uko arusha kipindi flan, kajala akawa anamkejel kwa watu wa pemben kuwa kwa nn aandae show ya bei mbaya wakat pesa hana?? Wapambe ndo wakamfikishia wema , wema ndo aka mind kwa nn kajala amseme vibay kwa ajili ya lak mbil wakat yeye alimtolea mil 13 ili atoke jela?? Ndo aka mmind , sasa haijulikan kama kajala kwel alisema au wapambe walitak kuwagombanisha mana wema alisema aliaambiwa na watu akusikia
 
Mkuu warumi kwa alicho fanya Kajala ni usaliti japo wote si mume wao lakini Kajala ana stahili lawama.
Kwa Wema anavyo onekana ni wazi ni mwepesi kusamehe lakini yuko katika wakati mgumu pengine anaogopa kuporwa Diamond.

pengine Kajala hajaomba msamaha kama anavyo jaribu kusema, pengine hakumaanisha na akaonesha hakumaanisha na pengine mazingira yana mhukumu katika hili.

No one is parfect lakini Kajala alionesha ishara mbaya kwa alicho fanya japo hakuna mmiliki kati yao, hebu tujiulize kilicho pelekea Kajala kufanya vile ni nini? Pengine alikuwa ana mmkomoa na kutaka kumuonesha mwenzie.

Bila shaka wata yamaliza.
 
Last edited by a moderator:
Me yangu ndo hayo na ndio ukweli. Umbea nao kipaji yabidi uwe na uhakika na unachokisema hapa.
Likija swala linalomhusu wema warumi huwezi kuwa fair hata siku moja and thats it, hata Matola analijua hili.

huku nimemuacha warumi na mapovu yake, naelekea kule jf intelligence platform kunowa bongo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu warumi kwa alicho fanya Kajala ni usaliti japo wote si mume wao lakini Kajala ana stahili lawama.
Kwa Wema anavyo onekana ni wazi ni mwepesi kusamehe lakini yuko katika wakati mgumu pengine anaogopa kuporwa Diamond.

pengine Kajala hajaomba msamaha kama anavyo jaribu kusema, pengine hakumaanisha na akaonesha hakumaanisha na pengine mazingira yana mhukumu katika hili.

No one is parfect lakini Kajala alionesha ishara mbaya kwa alicho fanya japo hakuna mmiliki kati yao, hebu tujiulize kilicho pelekea Kajala kufanya vile ni nini? Pengine alikuwa ana mmkomoa na kutaka kumuonesha mwenzie.

Bila shaka wata yamaliza.

Nadhani ni Tamaa tu ya maisha mazuri , wema kanyamaza kimya , marafiki zake wengi ni wanafik sana , sema ana huruma sana na mwepesi kusamehe ndo maana watu wana take advantage hyo , ila mwisho wa siku Clement ni mume wa mtu , nadhan wema yupo na diamond kwa sasa , watulie watengeneze maisha japokuwa wema hatak kurudisha gari la pink la kaka clement.
 
Last edited by a moderator:
huku nimemuacha warumi na mapovu yake, naelekea kule jf intelligence platform kunowa bongo.

Sawa bwana Matola , ila hili ndo jukwaa watu wengi wanapita, usipo comment lazima uchungulie...
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ni Tamaa tu ya maisha mazuri , wema kanyamaza kimya , marafiki zake wengi ni wanafik sana , sema ana huruma sana na mwepesi kusamehe ndo maana watu wana take advantage hyo , ila mwisho wa siku Clement ni mume wa mtu , nadhan wema yupo na diamond kwa sasa , watulie watengeneze maisha japokuwa wema hatak kurudisha gari la pink la kaka clement.

Kwani aliambiwa arudishe? hizo ndio gharama za mapenzi kwani huyo Clement hakujua mapenzi yana gharama zake? hizi ni tabia za watoto kabisa kudai vitu mambo yanapo kwenda kombo.
 
Ni mali yake mkuu ana haki , we hujui kaka hii style ndo habar ya mujini?? ukitak kipwapwiso kwa hawa madada Lazima uingie kwa gia ya kuhonga gari ukichoka kupiga unajifanya gari imekamatwa haijalipiwa ushuru kama huyo mtu mstaarabu akikutana na akina nyamlenge anampokonya had vijiko.

kama wanataka magari mazuri wafanye kaz waache ukahaba lasi hivyo kila siku watahaibika , hilo gari la pink ni Mali ya kaka clement tukiitaka mda wowote tunaichukua kama tulivyochukua vifaa vya ofisin pamoja na lile gari la thaman Audi q7 , hihiiiii vitu vya kaka clement mda wowote tunachukua gari la pink , amwambie ndomo amnunulie gari lake
 
Wema si yuko na Domo, sasa hilo bifu anaendekeza la nini au ya Domo haifikii kwa ya Clement.?
 
Ndo maana huwa sipendi kuendekeza ushost mbele ya mwanaume wangu mie....
mashost wakae mbali kabisa habari za ushemeji sizitaki

Hayupo anaeendekezaa urafiki wa hivyoo siku hizi maaana anaekuuaa ni wa karibu yakoooo
 
Nadhani ni Tamaa tu ya maisha mazuri , wema kanyamaza kimya , marafiki zake wengi ni wanafik sana , sema ana huruma sana na mwepesi kusamehe ndo maana watu wana take advantage hyo , ila mwisho wa siku Clement ni mume wa mtu , nadhan wema yupo na diamond kwa sasa , watulie watengeneze maisha japokuwa wema hatak kurudisha gari la pink la kaka clement.

Binamu umeng'ang'ania hilo gari
 
Nilimwona kajala alivyolia...duh kumbe anayake...
 
Ni nini hivi vinajadiliwa humu..huyu kajala ni mmoja ya wale waliotekwa na boko haram au mjumbe wa bunge la katiba
 
Kwani hili ni jukwaa la siasa....? Kama unahisi umepotea njia omba uelekezwe..
 
Back
Top Bottom