Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,183
Kwani hili ni jukwaa la siasa....? Kama unahisi umepotea njia omba uelekezwe..
Njoo bao tatu guest house room 109 unielekeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hili ni jukwaa la siasa....? Kama unahisi umepotea njia omba uelekezwe..
Njoo bao tatu guest house room 109 unielekeze
Na huyu ndo CK wa Kajala na Wema...View attachment 156536
Binamu umeng'ang'ania hilo gari
kajala kafanya kulipa fadhila kwa Clement coz pesa yake ndo ilitumika kumsaidia acrudishwe segedansi!
warumii hebu nitajiee ni vitu gani Daimond ashawah mnunulia Wemaaa hebu vitajee
warumii hebu nitajiee ni vitu gani Daimond ashawah mnunulia Wemaaa hebu vitajee
Ananiuaa etii gari la kaka clement hahhhhhha
Ha ha ha ha Warumi mbavu zangu na kaka Clementyaan wema muongo nakumbuka kaka clement alimuhonga harrier mwaka juz ya kijivu , mama ubaya akadanganya eti familia yake imemnunulia kama zawad ya kuachana na diamond , kumbe gari lilikuwa la shemej wa ikulu.
Ni nini hivi vinajadiliwa humu..huyu kajala ni mmoja ya wale waliotekwa na boko haram au mjumbe wa bunge la katiba
Wallah huyu Dinazarde kama sio ndo Kajala mwenyewe sijui... manake anavyomsakama Siwema! Ka' sio Kajala, nimekosea sana utakuwa Paula, bisha?! Kama we sio ndo Kajala basi weka picha yako hapa tuthibitishe. Na huyu warumi mi n'a wasiwasi atakuwa Chidy huyu!!
Hapa namuunga mkono Evelyn Salt. Urafiki wa Kajala na Wema ni zaidi ya urafiki... hata kama mtu kukusadia haina maana ndo uwe unamnyenyekea lakini at least appreciation. Wema hakumsaidia Kajala nauli wala gauni la kwenda nalo harusini! Msaada wa Wema kwa Kajala haukuwa wa school fee bali ni msaada wa kumnasua toka kwenye shimo lenye kina kirefu unasuaji ambao, kama pasingetokea wa kunasua basi huenda ungeharibu kabisa maisha ya Kajala... miaka saba jela tena kwa mtoto wa kike si mchezo! Mpo uraiani mnapiga soap soap kila siku, baada ya miaka saba mnakuwa mmechoka, itakuja kuwa jela?!
Tunaposema mtu kumsaidia haina maana ndo umnyenyekee tafsiri yake si hii inayotolewa na wengi kwenye uzi huu! Tuseme Kajala angekuwa na Boyfriend wake halafu Wema anaamua kutembea na mwanaume wa Kajala kwa kiburi tu kwamba alimsaidia na Kajala analazimika kukaa kimya; hapo ndipo ina-apply dhana kwamba kumsaidia mtu haina maana kwamba ndo umnyenyekee... lakini wewe wewe uliyesaidiwa ndo unaanza ukorofi dhidi ya aliyekusaidia halafu ndo mnasema kumsaidia sio hoja?!
Vilevile hoja kwamba CK hakuwa mume wa Wema na kwamba Wema nae ni mwizi tu nayo sio hoja ya msingi! Hapa issue sio kwamba CK nae ni Chawote au CK na Wema wameshaoigana chini au Wema ana bwana mwingine... issue hapa ni ukaribu kati ya Wema na CK bila kujali hayo mengine! Kama alivyosema Evelyn, provided Kajala na Wema ni zaidi ya rafiki, basi alitakiwa kumchukulia CK kama shemeji yake hata kama wameshamwagana! Na katika mapenzi, huwezi kukimbilia kuanzisha uhusiano na mtu kisa tu amemwagana na aliyekuwa nae... zinavunjika ndoa na wanakuja kurejeana itakuja kuwa haya mapenzi ya barabarani!!!
Sana sana kv CK anaonekana fa'ra limbukeni wa mastaa, kitu ambacho Kajala angefanya ni kupiga mchongo na Wema kwa kumwambia lile gombe (CK) limejilengesha kwake (kajalla) kwahiyo kama vipi atoke nalo kimaslahi!! Kwahiyo ingawaje jamaa ingekuwa anakula ngoma lakini huku nae akiminywa bila kujitambua... sana sana Kajalla ingekuwa ndo kwanza anachukua maujanja kwa Wema coz' mafamba dizaini hii wanachostahili ndo hicho! Kinyume chake, I beg to disagree na wanaom-support Kajalla... na hapa ndipo ninapopata picha ya kwanini Le Mutuz alimpa Kajala za chembe live!!! I didn't agree withLe Mutuz coz' alionesha wazi kuegemea kwa Wema pamoja na kudai wote ni rafiki zake... kumbe kwa haya tunayosikia sasa, inaonesha wazi Le Mutuz alifahamu A-Z, lakini akaamua kutumia busara za kiutu uzima kutomwaga mchele... kama ndivyo, Le Mutuz alistahili kutoa za chembe live!
Hee... we Dinazarde vipi, unauliza maswali utafikiri ndo umeshuka pale Station leo?! We unafahamu kabisa Wema kwa Dayamondi anafuata nini na kwa CK ameacha nini! We unafahamu kabisa kwamba huyo ambae mna-share ubinamu nae na warumi ni guruwe... sa' mtu analiweka guruwe lake pending ndo inakuwa nongwa na kudhani ndo basi tena, lishakuwa la shughuli... mwenye kisu, mwenye sime ajimegee atakavyo...khaa! Ukiona kibuyu changu cha pombe kimejaa kilaji na hakipungui sio ndo basi tena ukadhani nimeacha pombe na wewe ndo uinywe utakavyo... wengine tukiwa kwenye mfungo hatunywi!! Yaani watu wasisuse ndo ishakuwa nongwa... nyie wasichana wa mjini mna mambo...Hahhhhahhha eti mi ni Kajalaa hayaa tumekusikiaaa unamsaidiajee Wema ili warudiane na Ck maana keshatimuliwa kwenye nyumba aliyosema kanunua milion 400
Muacheni Kajala nae jamanii kwanza wanajuanaaa piliii Wema atakuaje na wivu kwa wanaume wawilii domo na Ck khaaa!!!kwa hiyi mlitaka Ck akae bila utamuuu kisa wemas
Ck kafanya makusudi baada ya umalaya wa wema mbona Naima hamsemi maana nae alikua shoga wa Wema hahhhahhha
Ukimsaidia mtu usitegemee fadhilaa bwanaa kajala kaona alipe fadhila kwa aliezitoa pesa mapenzii ni ya ajabuuu
Hahhhhahhha eti mi ni Kajalaa hayaa tumekusikiaaa unamsaidiajee Wema ili warudiane na Ck maana keshatimuliwa kwenye nyumba aliyosema kanunua milion 400
Muacheni Kajala nae jamanii kwanza wanajuanaaa piliii Wema atakuaje na wivu kwa wanaume wawilii domo na Ck khaaa!!!kwa hiyi mlitaka Ck akae bila utamuuu kisa wemas
Ck kafanya makusudi baada ya umalaya wa wema mbona Naima hamsemi maana nae alikua shoga wa Wema hahhhahhha
Ukimsaidia mtu usitegemee fadhilaa bwanaa kajala kaona alipe fadhila kwa aliezitoa pesa mapenzii ni ya ajabuuu
Kwani aliambiwa arudishe? hizo ndio gharama za mapenzi kwani huyo Clement hakujua mapenzi yana gharama zake? hizi ni tabia za watoto kabisa kudai vitu mambo yanapo kwenda kombo.