Kajala na mwanae waja na Reality Tv show yao


Watu wanapenda kuona vitu unique on Tv , vitu ambavyo ni nadra sana wengine kuwaona wako navyo, vitu vya gharama, Sasa mtu unaendesha vits, unakaa kinondoni, unakula dagaa kila siku , viwanja vyako kidimbwi, nani atapotza mda wa kuangalia?

Ebu tuwaangalie wenzetu huko SA, hakunaga reality show ya watu maskin tukubali tu ,ebu nitafutie reality show moja iliyowah ku hit ya watu maskin, Jaman C muwe mnaangalia reality shows za wenzetu huko nje ???????
 
Reality shows kibongo bongo sijawahi kuona zikifanikiwa.

1- In my shoes - Wema

2- Diary ya Lady Jaydee

3- Chid benz ( miaka ya 2011 )

Anyway, si vibaya kujaribu ila Lamataah naona hapo kabugi, labda atamhusisha mpaka Harmonize maana ni Lobbist mzuri
 
Yule gigy komesha.
Yule kweli ukimpa show matukio kila siku.
Mtapga pesa sana show lazma iwe hot.
Kuna tukio alilifanya huku anarekodiwa live eatv kwa mjumbe wa nyumba kumi sinza ataly sana.
Kasmamisaha shughuli zote za mtaa aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lile tukio lilikuwa kituko cha karne...mjumbe hakuamini kilichotokea ...ila giggy alikuwa amepigika sana sana kipindi hicho...wadau waitaiweka hiyo clip
 
Kama diamond dah yule jamaa kwenye kujieleza kwakweli mmh hajui hata kuchagua maneno ya kuongea
 

Pia usikute waliamua tu kujisemea hakuna cha reality show wala nini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila binamu wee hapan lol.
 
Kikubwa watengeneze pesa, kama itawaingizia pesa basi heri kwao.
 
Kanye West ni producer maarufu wa hip hop duniani, Majani ni producer maarufu wa hip hop East Africa.

Kajala ni celebrity mlimbwende East Africa mwenye scandals za picha chafu...
Na Paula ni KyleJenner 😛😛😛
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu umetisha sana,si kwa comparison hii
 
mleta mada stress za maisha zinakuendesha sana, sijaiona mantiki ya wewe kufoka foka kwenye hii thread, thread nzima imejaa makasiriko utadhani umelazimishwa kupost.
Sure yaani huyu anavyoongea Ana chuki nao badala hata awape moyo yeye anazidi kujivutia chuki na negative emotions anajizungushia.
Nina uhakika huyu jamaa Hana hata nyumba ya two bedrooms,yenye garden nzuri mazingira mazuri ya upepo mwanana anaweza akawa anaishi sehemu imesongamana Sana jirani akipiga chafya dirishani na wewe hapa ndani unarukiwa na vile vimajimaji vya chafya. Nina bet Hana usafiri wake binafsi na hajazi full tank itakuwa ni vibaba kwenda mbele.
Pia kwa akaunti yake Haina 200m pia Hana kazi ya maana ya kuweza kuingiza 100k per day,
Pia na yeye hajasoma na hajabahatika kwenda hata Kenya hapo mpakani namanga jamani.
Yaani mtu mwenye hizo quality kuongea hayo maongezi ni nadra Sana.
Wao wakitombaaww ili life liende kwani ni ya kwake inafanywa jamani.
Maisha ni kuishi na kuchagua unalofurahia kumbuka hutoishi ukiwa kaburini na haujui ni lini utakuwa kaburini
 
Reality show kwa audience gani hapa Bongo?
 
vipi diva ana hadhi ya kufanya reality show?
 
ivi bado wanauza papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…