warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #81
Reality show mtaji wake sio lazima uwe na utajiri,umaarufu ndo mtaji muhimu ktk reality show. Na ata maana/definition ya reality show haihusiani na kuonyesha ukwasi bali kuburudisha/ivyo ata ukionyesha maisha ya vijijini ni sawa. Mleta mada unajichanganya kufikiri kuwa ni matajiri tu ndo wanaoruhusiwa kufanya reality show.
Kinachotakiwa ni kuwaunga mkono mama na mwanae kwa kuanza kutumia umaarufu wao kama mtaji wa kujipatia kipato halali. Tafuta na wewe waweza kufanya nini na uanze mara moja badala ya kutaka kumshusha mwenzako ni bora upande nae.
Watu wanapenda kuona vitu unique on Tv , vitu ambavyo ni nadra sana wengine kuwaona wako navyo, vitu vya gharama, Sasa mtu unaendesha vits, unakaa kinondoni, unakula dagaa kila siku , viwanja vyako kidimbwi, nani atapotza mda wa kuangalia?
Ebu tuwaangalie wenzetu huko SA, hakunaga reality show ya watu maskin tukubali tu ,ebu nitafutie reality show moja iliyowah ku hit ya watu maskin, Jaman C muwe mnaangalia reality shows za wenzetu huko nje ???????