Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa wa filamu bongo,Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ameibuka na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa mil 13 alizolipiwa na staa mwenzake Wema Sepetu ili asiende jela miaka saba.

Kajala alisema huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hiko cha fedha ingawa uwezo wa kuzilipa anao

"Huwa nateseka sana kila ninapokumbuka nilitolewa mil 13 japokuwa naamini alitoa kwa moyo mmoja, kinachoniuma muhusika anaiongelea kila siku tena kwa mabaya, " Alisema Kajala
 
Si azirudishe yaishe!? Kwanini aendelee kukaa na jakamoyo rohoni!?
Aende kwa Wema na sandarusi la minoti na kigodoro juu akifika ambwagie amwambie bibie nimechoka na shobo zako mihela yako hiyo hapo....akimaliza aondoke akisindikizwa na wimbo maarufu wa MAMA AMINAAAAAA.......!!!!!!!
 


Haa..haa....wee kiboko.
 
Tatizo sio kuwa na pesa alipokutoa wema inabidi umshukuru sana pesa sio kitu but ubinadamu aliofanya kwa ile siku sio wema ungeenda jela hiyo kiburi ya pesa leo ungepata wapi na kumchukulia bwana ungekuwa na uwezo ungeambia familia waende bank watoe hiyo 13m wakutoe
 
Kama uwezo anao si alipe aache kila leo kujiongelesha
 
Alipe tu nae siku hizi si millionaire Kajala
 
Hapa tatizo c kulipa ila nnacho ona unafikiria kutoa hela ambayo hukuiwazia kuitoa ingawa unayo coz ungekuwa unataka kumlipa ucnge lalamika.niko tayari kukulipia na itakuwa ni baina ya mm na ww tu hakuna masimango nitafute
 
Kama anao uwezo na amlipe, tena kwa moyo mmoja wa shukrani kwa fadhila aliyomfanyia.
 
Hapa tatizo c kulipa ila nnacho ona unafikiria kutoa hela ambayo hukuiwazia kuitoa ingawa unayo coz ungekuwa unataka kumlipa ucnge lalamika.niko tayari kukulipia na itakuwa ni baina ya mm na ww tu hakuna masimango nitafute

Duu zali hili...! Hii inaitwa changamkia fursa naona atazipata hizi habari njema sana
 
Thamani ya ile hela aliyotoa Wema hawezi kuilipa ni bora aache tu hata kuiongelea maana hata ukiilipa leo haitakuwa sawa na alivyokuoankipindi kile alipokuepusha na jela. Pia huyo Wema hapaswi kuiongelea kwani thawabu aliyoipata toka kwa Mungu inaondokabanaponung'unika
 
mm si team wema......lkn wema ana mabaya mengi tu lkn kwa hli la kajala alimtendea kitu kikubwa sana......kajala hata ukiamua umlimpe bilioni kadhaa wema ss hv haisaidii kipindi kile ulipokuwa jela ndio ilionekana thamani yake.......shukrani ya punda mateke akamchukulia buz lake ......kajala hukufanya vizuri
 
si alipe sasa...si uwezo anao? hawa wauza nyapu mjini shida sana

Leo kapigwa sn na wanume kibao ndio anaanza kujidani kuwa anatamani kurudisha arudishe na mapigo yote aliyokuwa anapigwa na jamaa ake na wema
 
Asikudanganye mtu thamani ya hela inalipika zaidi ya aliyokupa mtu akikupa elfu kumi unaweza kumpa ishirini.sema hakuna mizani ya kulipa nguvu za mtu ikiwa mtu alikuwa anakuuguza na kulala na ww hosp miaka miwili hapo mpaka umepona hapo huwezi kumlipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…