warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Staa wa filamu bongo,Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ameibuka na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa mil 13 alizolipiwa na staa mwenzake Wema Sepetu ili asiende jela miaka saba.
Kajala alisema huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hiko cha fedha ingawa uwezo wa kuzilipa anao
"Huwa nateseka sana kila ninapokumbuka nilitolewa mil 13 japokuwa naamini alitoa kwa moyo mmoja, kinachoniuma muhusika anaiongelea kila siku tena kwa mabaya, " Alisema Kajala