Ni kweli amlipe maana anasimangiwa hataree hatukatai kua alisaidiwaaa lakin wema alitaka kajala awe chini yake yaan amtumie anavyotakaa yeyee
Alipe sasa anasubir nn wema anaroho nzuri kuliko yeye mwenzie kamfanyia wema ye kamlipa mabaya
Kama anao uwezo na amlipe, tena kwa moyo mmoja wa shukrani kwa fadhila aliyomfanyia.
mm si team wema......lkn wema ana mabaya mengi tu lkn kwa hli la kajala alimtendea kitu kikubwa sana......kajala hata ukiamua umlimpe bilioni kadhaa wema ss hv haisaidii kipindi kile ulipokuwa jela ndio ilionekana thamani yake.......shukrani ya punda mateke akamchukulia buz lake ......kajala hukufanya vizuri
mm si team wema......lkn wema ana mabaya mengi tu lkn kwa hli la kajala alimtendea kitu kikubwa sana......kajala hata ukiamua umlimpe bilioni kadhaa wema ss hv haisaidii kipindi kile ulipokuwa jela ndio ilionekana thamani yake.......shukrani ya punda mateke akamchukulia buz lake ......kajala hukufanya vizuri
Tatizo sio kuwa na pesa alipokutoa wema inabidi umshukuru sana pesa sio kitu but ubinadamu aliofanya kwa ile siku sio wema ungeenda jela hiyo kiburi ya pesa leo ungepata wapi na kumchukulia bwana ungekuwa na uwezo ungeambia familia waende bank watoe hiyo 13m wakutoe
My usijage huku bana..!
Sasa alipe kwani ulikua ni Mkopo?Si amlipe sasa kama hizo pesa anazo... sio kujiongelesha ongelesha
Ata mimi ningekuwa kajala ningejuta kwa kweli, kumsaidia mtu isiwe fimbo ya kumchapia, kingine huyo CK hakuwa mume wa wema ata yeye alimuiba kwa mtu, what goes arround comes arround
Ayanda sio nusu hata robo tatu utapata coz hatupendi kuona mtu anasimanga kwa ajili lilitumika jina lake tu na c pesa zake
Unadhani thamani ya 13m ya wakati ule ni sawa na sasa, kusimangwa kawaida; Wazazi husimanga watoto wao kwa kutokumbuka nini wamefanyiwa sembuse kajala. Ziba masikio piga kazi maisha yasonge ndo unapaswa kufanya kwa sasa.
Utawalipa wangapi!?
Amlipe tu maana wema ataitungia movie hii story na jinsi alivyo na team kubwa atauza sana na itakuwa ndio basi tena kufutika, au kajala atunge movie kuhusu huo wema wa kinfiki aliofanyiwa na wema, iwe ya kistaarabu tu kuonyesha anajuuuta, kumfahamu wema.
Ahahahah umenifuraisha, khaa na kweli hawachelewi kutunga movie mwenzangu