Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

Ayanda sio nusu hata robo tatu utapata coz hatupendi kuona mtu anasimanga kwa ajili lilitumika jina lake tu na c pesa zake
 
Ni kweli amlipe maana anasimangiwa hataree hatukatai kua alisaidiwaaa lakin wema alitaka kajala awe chini yake yaan amtumie anavyotakaa yeyee

Mmh ila kajala alivyotolewa jela na wema alikoma, alikuwa full kubebeshwa mapochi na wema hadi marafiki wa kuongea nae alikuwa anamchagulia wema kisa mil 13,amlipe tu kwa kweli, kwanza hyo pesa aliitoa kwa kutaka sifa japokuwa alimsaidia sana ila sio kwa style hii, wema anamnyanyasa mwenzie
 
Alipe sasa anasubir nn wema anaroho nzuri kuliko yeye mwenzie kamfanyia wema ye kamlipa mabaya

Kajala ana hekima sana, ungeona jinsi alivyokuwa akitumikishwa na wema alivyotoka jela usingetamani kumtetea wema, sema tu alimsaidia, ila kajala alijishusha sana kwa wema na kuonekana mburula, maana mama ubaya alikuwa anamtawala kajala, akiitwa kwenye Interview anamzuia asiende kisa mil 13,cha moto alikiona kwa kweli
 
Kama anao uwezo na amlipe, tena kwa moyo mmoja wa shukrani kwa fadhila aliyomfanyia.

Kwa sasa uwezo anao ila haitaleta maana ata akilipa, bado haiwezi kufuta kumbu kumbu ya kulipwa pesa na wema ili asiende jela, wema mswahili utadhani izo pesa alizitafuta yeye, aliyempa katulia ila yeye sasa mmh!!
 
mm si team wema......lkn wema ana mabaya mengi tu lkn kwa hli la kajala alimtendea kitu kikubwa sana......kajala hata ukiamua umlimpe bilioni kadhaa wema ss hv haisaidii kipindi kile ulipokuwa jela ndio ilionekana thamani yake.......shukrani ya punda mateke akamchukulia buz lake ......kajala hukufanya vizuri

Kupanua mbele na nyuma ni zaidi ya course work
 
mm si team wema......lkn wema ana mabaya mengi tu lkn kwa hli la kajala alimtendea kitu kikubwa sana......kajala hata ukiamua umlimpe bilioni kadhaa wema ss hv haisaidii kipindi kile ulipokuwa jela ndio ilionekana thamani yake.......shukrani ya punda mateke akamchukulia buz lake ......kajala hukufanya vizuri

Nashukuru kama umetambua alikuwa ni buzi sio mume wake wala mchumba, sio mbaya wakilichuna wote, wema wivu tu unamsumbua, kwani huyo ck alimchumbia au kumuoa? Anamuonea tu mwenzie
 
Tatizo sio kuwa na pesa alipokutoa wema inabidi umshukuru sana pesa sio kitu but ubinadamu aliofanya kwa ile siku sio wema ungeenda jela hiyo kiburi ya pesa leo ungepata wapi na kumchukulia bwana ungekuwa na uwezo ungeambia familia waende bank watoe hiyo 13m wakutoe

Kajala ana hekima sana na ni mvumilivu, ata ukimsikiliza kwenye enterview zake utagundua ni mwanamke wa aina gani, maana wema alimtawala sana bibie akawa mpole, alikuwa anamchagulia hadi mabwana na watu wa kuongea nao, kuna kipindi kajala alipata safar ya china, wema akamkataza asiende, jaman kajala katumikishwa kwa kweli, ata ungekuwa wewe ungechoka
 
Ata mimi ningekuwa kajala ningejuta kwa kweli, kumsaidia mtu isiwe fimbo ya kumchapia, kingine huyo CK hakuwa mume wa wema ata yeye alimuiba kwa mtu, what goes arround comes arround

pengine hizo hela za kumtoa jela zilitoka mfukoni kwa CK huyo wema ata asijishaue, kwanza si alimwacha mwenyewe CK akarudi kwa chibu wake sasa alitaka ck afanye nini? mi ata sijaona kosa la kajala wala sababu ya wema kumnunia kajala..
 
Ayanda sio nusu hata robo tatu utapata coz hatupendi kuona mtu anasimanga kwa ajili lilitumika jina lake tu na c pesa zake

meona eeh lilitumika tu jina la wema ila sio pesa zake aache masimango
 
Amlipe tuu naye anajishauri nn? Tena amshukuru kwa wema aliomtendea, japo ana masimango sana hako ka wema.
 
Amlipe tu maana wema ataitungia movie hii story na jinsi alivyo na team kubwa atauza sana na itakuwa ndio basi tena kufutika, au kajala atunge movie kuhusu huo wema wa kinfiki aliofanyiwa na wema, iwe ya kistaarabu tu kuonyesha anajuuuta, kumfahamu wema.
 
Unadhani thamani ya 13m ya wakati ule ni sawa na sasa, kusimangwa kawaida; Wazazi husimanga watoto wao kwa kutokumbuka nini wamefanyiwa sembuse kajala. Ziba masikio piga kazi maisha yasonge ndo unapaswa kufanya kwa sasa.
Utawalipa wangapi!?
 
Ata kama mwenzangu mama ubaya kazidi kunsimanga mwenzie, Mungu akisema atusimange kwa yote aliyotufanyia mpka leo tupo hai kuna anayeweza kumlipa? Wema ni mwema sana kumzidi mungu? Kajala ni binadamu kama walivyo binadamu wengine, ana mapungufu yake, kama aliamua kumsaidia kwa moyo mmoja hana sababu ya kumsema ovyo mwenzie, hakuna aliye msafi
 
Amlipe tu maana wema ataitungia movie hii story na jinsi alivyo na team kubwa atauza sana na itakuwa ndio basi tena kufutika, au kajala atunge movie kuhusu huo wema wa kinfiki aliofanyiwa na wema, iwe ya kistaarabu tu kuonyesha anajuuuta, kumfahamu wema.

Ahahahah umenifuraisha, khaa na kweli hawachelewi kutunga movie mwenzangu
 
Ahahahah umenifuraisha, khaa na kweli hawachelewi kutunga movie mwenzangu

Kabisa mkuu, hebu Mtafute kajala fasta umpe mpango huu aisee, mama ubaya akianza mbona Kajala atapoteza shepu na mjini atasahaulika.
 
Back
Top Bottom