Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

Kurudisha ni rahisi, tatizo thamani ya hiyo pesa imeshuka.
 
Tushangae wote, kama hana uwezo amwambie zari amlipie, yule shemej yetu mzungu hana uswahili kama mama ubaya

Maana hii inshu siku nyingi bhana.....me nkajua ameshamlipa bwana kumbe bado.Amlipe million 13 watu tupumue.Loooooh
 

Mini Sina urafiki na mtu yeyote kati ya hawa lakini Kajala amemkosea Wema kwenye uso wa dunia hii, hatuitaji kujua kana pesa alizomtolea zinamuuma ila tunaitaji kama angefungwa miaka saba hiyo sura anayouza kwa CK ingewezekana zaidi ya kutokwa na upele na ukurutu hata akitaka apigwe papuchi ni lazima aongwe ugali na mjeshi wa huko lupango, K yake isingekuwa na thamani kama alivyo sasa hivi. hata alivyotoka ule usopu sopu alimpiga wema mpaka ukrutu ukapotea mtoto akawaka akaanza kusuka hata nywele ndio maana ilimanusura ile alilia sana. Sasa kapata ndio yale yalia mbwata.
 
Tatizo sio 13million .......
Tatizo akamwombe msamaha kwa kujisavia bwana wa Wema.
 
Hawa wanawake mwisho, wema anakumbuka pesa alizotoa sababu kajala kalala na ex boyfi wake ambaye pia ni mume wa mtu. yaani wote wametoka na mume wa mtu na wema anamkasirikia na kujutia pesa hizo sababu

the so called best friend sijui just a friend alimtolea pesa kutafuta kiki...sasa friend kajala akatoka na ex wa wema aliyemnyanganya kila kitu alichojutia kunyanganywa hadi magari aliyokuwa kapewa atumie sababu alirudiana na Chibu.

haya kayasema kwa tv prog yake tena amerekodi mwaka huu March 2015 kama sio February 2015 bila haibu kumuongelea mume wa mtu wakati yeye na kajala wote ni michepuko.....hana heshima wema kukaa chini na kurusha story za kukasirika juu ya mume wa mtu kama vile hana mke.

heshima kwa kweli hainunuliwi sioni sababu ya yeye kuropoka juu ya mume wa mtu as yeye ni mchepuko.....then mfano huu nani ata taka mtoto wake aufuate?

kajala kweli rudisha pesa hizo na tunajua uliamua na wewe kutoka na huyo ex ili ukazile na wewe kama zilipotoka...sababu jina la wema lilihusika na ndie aliyekuombea kwa huyo aliyechepuka nanyi basi rudisha yaishe.

ila wema heshimu ndoa za watu sio kuongea kama vile wewe ndiye mke....fikiria mke huyo anajisikiaje kuona munamuongelea mumewe kama vile yeye hayupo hta kama ni kosa lake kuchepuka.

ndio maana sioni mmepata wenu wa kutulia...ukasaliwe mtoe laana unazorushiwa kama vile hamshikiki....msichezeeee dua za wake za watu. lazima unabahati nyite kwani nahisi huyo mama sio mwenye tabia ya kutaka kuwamaliza.
 
ila inabidi kujiuliza kwani CK hajui afanyacho? lazima alichoka tabia za mchepuko wake yaani huyo wema. na nahisi lazima wema alitaka kumuweka vidoleni kajala sababu ya pesa hiyo.

y amuombe msamaha na ck ni mume wa mtu wote wezi wajipange wakamuombe mkewe msamaha hawasamehe...

tabia mbaya pia azikalishi michepuko.....mie ni team wake za ndoani.
 

Huyo mke wa CK ana muda wa kugombana na malaya wa mujini wanaonuka umasikini? Yule mama ana hadhi zake bana, anawaangalia tu mumewe anavyogawa virus
 
Huyo mke wa CK ana muda wa kugombana na malaya wa mujini wanaonuka umasikini? Yule mama ana hadhi zake bana, anawaangalia tu mumewe anavyogawa virus

Wacha weee na mwanaume akiwa na virusi basi unamuacha tu atembezee maana watu wana shobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…