Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Yap, hakumkopesha, ndio maana anasema anatamani kumlipa kwa kuwa anamsimanga sana
Ila kwa kuwa Mama Ubaya kafulia itakua msaada sana kwake aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap, hakumkopesha, ndio maana anasema anatamani kumlipa kwa kuwa anamsimanga sana
Tushangae wote, kama hana uwezo amwambie zari amlipie, yule shemej yetu mzungu hana uswahili kama mama ubaya
Amlipe tumsindikize na vigodoro
mm si team wema......lkn wema ana mabaya mengi tu lkn kwa hli la kajala alimtendea kitu kikubwa sana......kajala hata ukiamua umlimpe bilioni kadhaa wema ss hv haisaidii kipindi kile ulipokuwa jela ndio ilionekana thamani yake.......shukrani ya punda mateke akamchukulia buz lake ......kajala hukufanya vizuri
Anajua ata akimlipa sasa ivi haitaleta maana, ndo maana anasema anatamani kumlipa kama ingewezekana
Hawa wanawake mwisho, wema anakumbuka pesa alizotoa sababu kajala kalala na ex boyfi wake ambaye pia ni mume wa mtu. yaani wote wametoka na mume wa mtu na wema anamkasirikia na kujutia pesa hizo sababu
the so called best friend sijui just a friend alimtolea pesa kutafuta kiki...sasa friend kajala akatoka na ex wa wema aliyemnyanganya kila kitu alichojutia kunyanganywa hadi magari aliyokuwa kapewa atumie sababu alirudiana na Chibu.
haya kayasema kwa tv prog yake tena amerekodi mwaka huu March 2015 kama sio February 2015 bila haibu kumuongelea mume wa mtu wakati yeye na kajala wote ni michepuko.....hana heshima wema kukaa chini na kurusha story za kukasirika juu ya mume wa mtu kama vile hana mke.
heshima kwa kweli hainunuliwi sioni sababu ya yeye kuropoka juu ya mume wa mtu as yeye ni mchepuko.....then mfano huu nani ata taka mtoto wake aufuate?
kajala kweli rudisha pesa hizo na tunajua uliamua na wewe kutoka na huyo ex ili ukazile na wewe kama zilipotoka...sababu jina la wema lilihusika na ndie aliyekuombea kwa huyo aliyechepuka nanyi basi rudisha yaishe.
ila wema heshimu ndoa za watu sio kuongea kama vile wewe ndiye mke....fikiria mke huyo anajisikiaje kuona munamuongelea mumewe kama vile yeye hayupo hta kama ni kosa lake kuchepuka.
ndio maana sioni mmepata wenu wa kutulia...ukasaliwe mtoe laana unazorushiwa kama vile hamshikiki....msichezeeee dua za wake za watu. lazima unabahati nyite kwani nahisi huyo mama sio mwenye tabia ya kutaka kuwamaliza.
italeta maana tu m13 mchezo...
Huyo mke wa CK ana muda wa kugombana na malaya wa mujini wanaonuka umasikini? Yule mama ana hadhi zake bana, anawaangalia tu mumewe anavyogawa virus
Hata akirudisha haina thamani ya 13m iliyomtoa jela
Mwenzao anawasikitikia tu na tamaa zao na ukimwi juu