Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Maneno ya Baba Levo akihojiwa huwa anaongea vitu fulani hivi ukivichunguza utajua nini kinaendelea Konde Village.
Mara nyingi Baba levo akiulizwa mahusiano ya Kajala na Harmonize amekuwa akijibu kuwa Kajala kwenye hayo mahusiano ana malengo yake, yakitimia basi anasepa zake, kichaka ni kuwa anavuna hela. But nyuma ya pazia kuna vingi zaid ya hvyo. Kwa sasa Kajala ndiyo mtu anayesikilizwa zaidi na big boss kuliko mtu yeyote.
Ujio wa kajala Konde Gang umewang'oa miamba wafuatao ambao kwa namna moja ama nyingine ndiyo zilikuwa moja ya ngome kuu za Konde Gang.
1. Mwijaku
2. Mjeruman (experienced manager)
3. Hbaba
4. Killy
5. Cheed
Za chini ya carpet ni kuwa Ibrah naye anatafuta chaka, sema anachorea ramani namna nzuri ya kuifuma exit door.
Kiongozi wa mabaunsa naye kajikata mdogo mdogo yeye kaweka waz kabisa kuwa sababu ni mtonyo hamna ...
Anyway kondegang 4 everybody