Kajala: Siyo kwamba hakuna wanaume wanaonipenda, ila nikiwa na Harmonize nakuwa na amani

Mhh kutosikia haina maana kwamba watu hawamegi,huyo mdada wa mjini still kuna maisha ya luxury anayapenda ila huyo dogo uwezo hana.kama una rafiki ambaye ni driver wa airport hasa zilizo karibu na mgodi au wafanyakazi wa hizi hotel kubwa za hazi ya nyota tatu mpaka tano utasimuliwa.

Wao walisha jijengea kuishi maisha fulani ya luxury kwa kutegemea madanga/kujuiza so ni ngumu kuwabadilisha na hawana njia nyingine zaidi ya kutegemea uzuri wao.
Sikatai wapo watu maarufu wengi wanaishi maisha hayo tena ni 98% lakini Aunt Ezekiel kachagua maisha ya kupambana Huyu dada anaendesha duka la vipodozi, anajihusisha na mambo ya vikoba na ni ambassador wa makampuni. Aut Ezekiel huwezi kumkuta kapiga picha yuko hotelini au vacation au kwenda nchi za nje kama wanavyofanya wenzake yeye wenyewe wakati anahojiwa amesema hajawahi kutamani hayo maisha na ndio maana anatoka na wanaume wadogo lakini mtu kama Irene Uwoya hana jeuri yakutoka na wanaume wadogo kwasababu ni mtu ambaye anapenda maisha ya kifahari anatoka na wanaume za watu wenye hela na ndio maana kwenye kipindi chao kile cha A-List Aunt alimuuliza kiuchokozi tunaomba utuoneshe mpenzi wako.Aunt kaweza kuishi hivyo ni kwasababu ni mswahili by nature kashazoea maisha ya kupambana mnamuonea kumuhusisha kwenye hayo mambo eti kwasababu ni maarufu.
 
Hapa mjini naweza kusema zaidi ya asilimia 90 ya mademu hawa wanao trend social networks/socialites/maslay Queen wenye biashara, hamna anaye endesha biashara kwa faida anayo itengeza kwenye biashara, kila siku wanapata hasara madanga wana warescue vilevile hayupo anaye endesha maisha yake kwa faida wanayo ipata kwenye biashara, kwani wengi wao washajizoesha matumizi makubwa so madanga wanawarescue, ndio maana wakiachwa biashara zao nazo zinakuwa kushnei........
 
Niliwahi kumcheki mtu mmoja anifanyie mpango kwa uwoya dau langu lilikuwa 800000 ila sijui ni kwamba huyo akitaka kunipiga au lah akanipandishia eti anataka million 2 na hataki kuja huku mtwara anataka dar
Bila shaka walikuzingua au alikuwa peak time ndio maana ila mbona wameshaenda sana migodini kule kwa wenye hela?
 
Sikatai wapo watu maarufu wengi wanaishi maisha hayo tena ni 98% lakini Aunt Ezekiel kachagua maisha ya kupambana Huyu dada anaendesha duka la vipodozi, anajihusisha na mambo ya vikoba na ni ambassador wa makampuni. Aut Ezekiel huwezi kumkuta kapiga picha yuko hotelini au vacation au kwenda nchi za nje kama wanavyofanya wenzake yeye wenyewe wakati anahojiwa amesema hajawahi kutamani hayo maisha na ndio maana anatoka na wanaume wadogo lakini mtu kama Irene Uwoya hana jeuri yakutoka na wanaume wadogo kwasababu ni mtu ambaye anapenda maisha ya kifahari anatoka na wanaume za watu wenye hela na ndio maana kwenye kipindi chao kile cha A-List Aunt alimuuliza kiuchokozi tunaomba utuoneshe mpenzi wako.Aunt kaweza kuishi hivyo ni kwasababu ni mswahili by nature kashazoea maisha ya kupambana mnamuonea kumuhusisha kwenye hayo mambo eti kwasababu ni maarufu.
Labda useme mwa sasa ndio katulia ila huyo alikuwa chawote sana hebu mrangi tupe data zake huyo aunty
 
Hapa mjini naweza kusema zaidi ya asilimia 90 ya mademu hawa wanao trend social networks/socialites/maslay Queen wenye biashara, hamna anaye endesha biashara kwa faida anayo itengeza kwenye biashara, kila siku wanapata hasara madanga wana warescue vilevile hayupo anaye endesha maisha yake kwa faida wanayo ipata kwenye biashara, kwani wengi wao washajizoesha matumizi makubwa so madanga wanawarescue, ndio maana wakiachwa biashara zao nazo zinakuwa kushnei........
Wewe umeongea in general ila Mimi nimemuongelea Aunt Ezekiel
 
Wakuu nna swali hivi lulu diva huwa anavyomuita Dvoice baby huwa ana maanisha ni mtoto kwake au anamaansha n mpenz wake
Huwa sielewi
 
Hamonizii yuko vizuriii.. Anawakojozaaa nomaa
1000642778.jpg
 
Shida kama alipekechua kalio utaenda kwa nani? Ni aibu
 
Back
Top Bottom