Wataligeuza kuwa shimo we hayaBadala ya kujibu wee unauliza tena. Lol
Wataligeuza kuwa shimo we hayaBadala ya kujibu wee unauliza tena. Lol
Si ndiooo!!Katulia wapi sema kapata mwanaume wa kumcontrol ila still anagawa kama kawa na dogo mwenyewe pale yupo kimaslahi kwani nae anawabatua sana vibinti vinavyo mshobokea.
Wee em sema kweli??Wataligeuza kuwa shimo we haya
Sasa iyobo na kusah Wana hela gani?Aunt katulia? Wanaume wake gani wa kawaida? Kusah? Iyobo? Au wepi?
A LIST wote wale wanafake. Useme aunt anafanya kwa akili.
Na hao kina Kajala au Wolper na Uwoya?Sasa iyobo na kusah Wana hela gani?
We umesikia scandal ipi ya Aunt Ezekiel? Huyu dada katuliaKatulia wapi sema kapata mwanaume wa kumcontrol ila still anagawa kama kawa na dogo mwenyewe pale yupo kimaslahi kwani nae anawabatua sana vibinti vinavyo mshobokea.
your future husband anakutana na shimo 🤣Wee em sema kweli??
Irene Uwoya Hana kazi maalumu mjini jiulize hela alikuwa anapata wapi? Je umewahi kukuta kampost mtu wake? Jiulize kwanini? Wolper mpambanaji ila Kajala anakitembezaNa hao kina Kajala au Wolper na Uwoya?
Ana hela nani? Rich Mitindo? Mmassy? Au Konde?
Aaaah
Hao wote wanakitembeza, useme Aunt na Wolper wanatumia akili, sio km Kajala na uwoya.Irene Uwoya Hana kazi maalumu mjini jiulize hela alikuwa anapata wapi? Je umewahi kukuta kampost mtu wake? Jiulize kwanini? Wolper mpambanaji ila Kajala anakitembeza
😂😂😂 je km future husband tayari niko nae?your future husband anakutana na shimo 🤣
Ndio maana nimekuuliza umesikia scandal yoyote ya Aunt Ezekiel hata kwa kusingiziwa? Maana usiseme jambo lolote bila ushahidiHao wote wanakitembeza, useme Aunt na Wolper wanatumia akili, sio km Kajala na uwoya.
labda kama kakuta vijana hawajafanya uharibifu😂😂😂 je km future husband tayari niko nae?
Uharibifu kaufanya yeye mwenyewe.labda kama kakuta vijana hawajafanya uharibifu
Inabidi asikuache sasaUharibifu kaufanya yeye mwenyewe.
Pigia mstariHarmonize bila shaka kashampakua kinyesi
Ndo maana nikaweka kwa list. Yule yupo kidume dumehuyo wa 4 hamna kitu, namuacha apite tu
Mhh kutosikia haina maana kwamba watu hawamegi,huyo mdada wa mjini still kuna maisha ya luxury anayapenda ila huyo dogo uwezo hana.kama una rafiki ambaye ni driver wa airport hasa zilizo karibu na mgodi au wafanyakazi wa hizi hotel kubwa za hazi ya nyota tatu mpaka tano utasimuliwa.We umesikia scandal ipi ya Aunt Ezekiel? Huyu dada katulia
Niliwahi kumcheki mtu mmoja anifanyie mpango kwa uwoya dau langu lilikuwa 800000 ila sijui ni kwamba huyo akitaka kunipiga au lah akanipandishia eti anataka million 2 na hataki kuja huku mtwara anataka darHawa usiwafate direct nenda kwa dalali wao Steve nyerere