kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Jamaa itakuwa anamfukua mtaro
Ile A list yote huko nyuma kuna aliepona kweli??Jamaa itakuwa anamfukua mtaro
I was waiting for this one 😂😂JAmaa atakua anachezea choo vzur
kimo anacho
Shemeji umeukwaa Uplatinum kimya kimya! Hongera. Msaidie basi babe wangu SweetyCandy na yeye aukwae ili niote majipu kwenye makwapa kwa kumiliki manzi ambaye ni Platinum Member!Kwa lile dude la kijeshi lazma apate amani......
Pesa haidanganyi shemeji 😀Shemeji umeukwaa Uplatinum kimya kimya! Hongera. Msaidie basi babe wangu SweetyCandy na yeye aukwae ili niote majipu kwenye makwapa kwa kumiliki manzi ambaye ni Platinum Member!
Tembo amepewa CHAMBO kwenye ndoano hapo ,anasubiri aingie NYAVUNI.Wanasiasa Malaya Malaya
Kwanini unasema hivyo?Jamaa itakuwa anamfukua mtaro
Nikiambiwa niwatafune in priority nawekaIle A list yote huko nyuma kuna aliepona kweli??
Kwa lile dude la kijeshi lazma apate amani......
Kajala kapitiwa na "Guu la Tembo" sisi wakina "Ali KIBA" tutaogelea.Wewe da kajala humtaki? Au unampendaga TU shost yangu cocastic

Hatari kubwaKajala kapitiwa na "Guu la Tembo" sisi wakina "Ali KIBA" tutaogelea.
Koka ana uraia PACHA![]()
Wa USA na TZ? 😂😂😂Kajala kapitiwa na "Guu la Tembo" sisi wakina "Ali KIBA" tutaogelea.
Koka ana uraia PACHA![]()
Nope ,Kenya Mombasa na Uarabuni UAE.....Wa USA na TZ? 😂😂😂
