Aramun JF-Expert Member Joined Nov 8, 2023 Posts 461 Reaction score 2,213 Apr 24, 2024 #1 Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana. Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao. Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano. Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi wakipinga. View: https://youtu.be/dPv1oehx0G0?si=U6oqfK8CDxvBwcDQ
Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana. Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao. Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano. Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi wakipinga. View: https://youtu.be/dPv1oehx0G0?si=U6oqfK8CDxvBwcDQ
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Apr 24, 2024 #2 Waache mara moja huo ujinga wao.
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,949 Reaction score 24,046 Apr 24, 2024 #3 Mbona kama wote ni wanawake?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Apr 24, 2024 #4 Duh aiseee
Sean Paul JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,330 Reaction score 3,289 Apr 24, 2024 #5 Hapo mwanaume ni yupi?
Witch hunter JF-Expert Member Joined Nov 21, 2018 Posts 2,106 Reaction score 5,806 Apr 24, 2024 #6 Wacha vyuma visagwe
THE BEEKEEPER JF-Expert Member Joined Feb 23, 2024 Posts 1,462 Reaction score 7,157 Apr 25, 2024 #7 Wauwawe