Kaka na Dada wawa Wapenzi bila kujua huko Kenya, mama yao awaunga mkono

Kaka na Dada wawa Wapenzi bila kujua huko Kenya, mama yao awaunga mkono

Aramun

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
461
Reaction score
2,213
Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana.

Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao.

Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano.

Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi wakipinga.

20240424_164626.jpg



View: https://youtu.be/dPv1oehx0G0?si=U6oqfK8CDxvBwcDQ
 
Back
Top Bottom