Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Ni wimbo na nusu ubunifu wa kiwango cha juu, message kali.naona stamina katuonesha kama jogoo anapanda mtungi kuna mama kijacho anakatiza..top rated!
 
Yap, ndo maana ya usanii! [emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mapenzi wameimba wangapi..?? Au ukimwi waliimba wangapi..?? Nadhani huwapendi ila umekosa namna ya kusema kwamba huwapendi...

UBUNIFU WAO NI WAJUU SANA... TAKA USITAKE..!!!
Mkuu usihangaike kumjibu huyo n kada kindakindaki wa chama cha kijani,so ana negativity na hawa vijana ikiaminika huwa wanaimba tracks za kuidis government.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu nilicho baini kwenye hii ngoma wengi hawajaelewa kwenye hii misitari michache ya mwisho iliyogeuzwa maneno[emoji1313][emoji1313][emoji116]

ROMA:"Nasikia Koyu Keza Mbochi" {Nasikia Yuko Zake Chimbo}

STAMINA: "Mano Likwelikwe" {Noma Kwelikweli}

YAANI HAPO IMEPIGWA BONGE LA SARAKASI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu ushawachoma vijana wa watu ungemezea tu usingepungikiwa na kitu.....#
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…