Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Yuko bize anaandaa diss track.Niki mbishi anasemaje kuhusu hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko bize anaandaa diss track.Niki mbishi anasemaje kuhusu hili?
Korona keshaimba rayvanny.
Wanaubuifu gani? Kila tukio lazima walitumie kupata kiki hawa.
Toa ngoma yako yenye ubunifu kushinda hiyo tuoneKorona keshaimba rayvanny.
Wanaubuifu gani? Kila tukio lazima walitumie kupata kiki hawa.
Mungu wa chattle kalengwa hapa.“.... Bwana wa Mabwana Mungu wa Miungu Alfa na Omega Nani Kama wewe.... ”[emoji848][emoji848][emoji848]
Nimeshajifukiza[emoji41]
Ha ha ha wamesikia.. [emoji5]Mwana kulitafta Mwana kulipata... Round hii sio ununio ni daraja la mkapa
Msiojulikana Mpo?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Roma alizingua kwenye nyimbo ya kibamia ila nyimbo zake huwa hajawai mwacha mtu salama
[emoji3516]
KITU NILICHOBAINI,
WENGI HAWAJAIELEWA ILE MISTARI MICHACHE YA MWISHO ILIYOGEUZWA MANENO ILE;
R.O.M.A: "Nasikia Koyu Keza Mbochi" = (Nasikia Yuko Zake Chimbo).
STAMINA: "Mano Likwelikwe" = (Noma Kwelikweli).
YAANI HAPO IMEPIGWA BONGE LA SARAKASI HAPO!!!
(CHATO_CITY IS IN DA HOUSE!!!)
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma Kweli kweliKujificha chimbo?
Askali wamejazana kwenye defenda hawana barakoa"Wanatukusanya kutukataza tusikusanyike"
Kwani mapenzi wameimba wangapi..?? Au ukimwi waliimba wangapi..?? Nadhani huwapendi ila umekosa namna ya kusema kwamba huwapendi...Korona keshaimba rayvanny.
Wanaubuifu gani? Kila tukio lazima walitumie kupata kiki hawa.
Mkuu usihangaike kumjibu huyo n kada kindakindaki wa chama cha kijani,so ana negativity na hawa vijana ikiaminika huwa wanaimba tracks za kuidis government.Kwani mapenzi wameimba wangapi..?? Au ukimwi waliimba wangapi..?? Nadhani huwapendi ila umekosa namna ya kusema kwamba huwapendi...
UBUNIFU WAO NI WAJUU SANA... TAKA USITAKE..!!!
[emoji3516]
KITU NILICHOBAINI,
WENGI HAWAJAIELEWA ILE MISTARI MICHACHE YA MWISHO ILIYOGEUZWA MANENO ILE;
R.O.M.A: "Nasikia Koyu Keza Mbochi" = (Nasikia Yuko Zake Chimbo).
STAMINA: "Mano Likwelikwe" = (Noma Kwelikweli).
YAANI HAPO IMEPIGWA BONGE LA SARAKASI HAPO!!!
(CHATO_CITY IS IN DA HOUSE!!!)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuliko K ni k?Roma alizingua kwenye nyimbo ya kibamia ila nyimbo zake huwa hajawai mwacha mtu salama