Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

[emoji3516]
KITU NILICHOBAINI,
WENGI HAWAJAIELEWA ILE MISTARI MICHACHE YA MWISHO ILIYOGEUZWA MANENO ILE;

R.O.M.A: "Nasikia Koyu Keza Mbochi" = (Nasikia Yuko Zake Chimbo).

STAMINA: "Mano Likwelikwe" = (Noma Kwelikweli).

YAANI HAPO IMEPIGWA BONGE LA SARAKASI HAPO!!!
(CHATO_CITY IS IN DA HOUSE!!!)


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajukwaa,

Jana wale vijana wenye uwezo wa kuburudisha, kufundisha na kuhamasisha (ROMA + STAMINA = ROSTAM) waliachia wimbo uliozua gumzo kwa ujumbe na ubunifu uliopo ndani yake.

Kuna mistari (mashairi) fulani wanasema hivi -:

R.O.M.A:
Nasikia Koyu Keza Mbochi

STAMINA:
'Mano Likwelikwe'

Kama mnakumbuka kuna mchezo ulikuwepo sana mashuleni, yaani watu wanaongea maneno kwa kinyume ili kumficha muhusika au watu wasielewe haraka.

Hivyo hapo walimaanisha hivi-:

R.O.M.A:
'Nasikia Yuko Zake Chimbo'..

STAMINA:
'Noma Kwelikweli'

Je walikuwa wanamsema Nani?

Msafwa,
Uporoto, Mbeya
 
Wameisha fikisha ujumbe na umeeleweka, mambo ya kujua wamemsema nani .. hayo yanatokana na msikilizaji kuamua kumuweka nani ... kama Kipanya vile..[emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti msikilizaji mwenyewe kuamua amuweke nani. Mie namuweka Mbowe si kajifungia karantini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vyovyote vile wengi wetu tunajua walikuwa wanamsema mzee Kinje ambaye kwa karibu miezi miwili sasa amekimbilia kijijini kwake huko Chato akipumzika, isolation, ikipiga nyungu, akinywa taratibu mizizi ya madagascar au akitumia dawa za mabeberu kwa ajili ya matatizo yake mengine ya kiafya.
 
Back
Top Bottom