Hii kaliKaka yake marehemu Dida Shaibu aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi fm,amesema mdogo wake aliwa vidonda vya tumbo ,akaacha matumizi ya dawa ikampelekea fangasi kupanda kichwani.
CHANZO PTVTZ
Aisee! Kwahiyo mtu akiacha kutumia dawa za vidonda vya tumbo anapata shida ya fungus? Hii kaliKaka yake marehemu Dida Shaibu aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi fm,amesema mdogo wake aliwa vidonda vya tumbo ,akaacha matumizi ya dawa ikampelekea fangasi kupanda kichwani.
CHANZO PTVTZ
Siasa nyingi sana, sema nini, mzee baba sema ukweli, baada ya kifo ni hukumu hakuna habari ya kuombewa eti kupunguziwa adhabu ya kaburi, ni uongo wa waarabu na wazungungu.Kaka yake marehemu Dida Shaibu aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi fm,amesema mdogo wake aliwa vidonda vya tumbo ,akaacha matumizi ya dawa ikampelekea fangasi kupanda kichwani.
CHANZO PTVTZ
Sasa wazungu na waarabu si ndio hao hao wamesema baada ya kifo hukumuSiasa nyingi sana, sema nini, mzee baba sema ukweli, baada ya kifo ni hukumu hakuna habari ya kuombewa eti kupunguziwa adhabu ya kaburi, ni uongo wa waarabu na wazungungu.
Ndio maana waafrika tunauana tukiamini baada ya kua tutaombewa tusamehewe, never!
"Baada ya kifo ni hukumu" , hii ni falsafa ya dini zetu za kienyeji huku AFRIKA na imetokana na UBUNTU.Sasa wazungu na waarabu si ndio hao hao wamesema baada ya kifo hukumu
Masuala ya Jehanam afrika hatukuwa nayo kabla ya ujio wa dini
UNakunywa dawa, ukiona unapona unacha, ni noma.Ugonjwa wowote hata wa bacteria infection ukiacha kutumia dawa kwa usahihi unaenda na maji. Hata antibiotics zinajenga usugu na kupelekea dawa kushindwa kufanya kazi.
🤣🤣🤣🤣🤣Hii kali
Aisee! Kwahiyo mtu akiacha kutumia dawa za vidonda vya tumbo anapata shida ya fungus? Hii kali
Hakuna kifo kinakosa sababuKaka yake marehemu Dida Shaibu aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi fm,amesema mdogo wake aliwa vidonda vya tumbo ,akaacha matumizi ya dawa ikampelekea fangasi kupanda kichwani.
CHANZO PTVTZ
Kwanini unaulizs umri wangu kwani huwezi ukatoa hoja bila kuuliza umri wa mtu unapungukiwa niniUna miaka mingapi?
Hajakuuliza umri mkuu.Anataka kujua una miaka mingapi tangu ujiunge JF.Kwanza kila mtu hapa JF ni mkuu.Kwanini unaulizs umri wangu kwani huwezi ukatoa hoja bila kuuliza umri wa mtu unapungukiwa nini
Kuna mtu mmoja mkatili sana hakosei misikitini mara makaniksani. Ana zuga tu.Siasa nyingi sana, sema nini, mzee baba sema ukweli, baada ya kifo ni hukumu hakuna habari ya kuombewa eti kupunguziwa adhabu ya kaburi, ni uongo wa waarabu na wazungungu.
Ndio maana waafrika tunauana tukiamini baada ya kua tutaombewa tusamehewe, never!
Akishajua itamsaidia nini?Hajakuuliza umri mkuu.Anataka kujua una miaka mingapi tangu ujiunge JF.Kwanza kila mtu hapa JF ni mkuu.
R.I.P Dada Mtangazi bora wa habari za kiswahili na uswahiliniKaka yake marehemu Dida Shaibu aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi fm, amesema mdogo wake alikuwa na vidonda vya tumbo akaacha matumizi ya dawa ikampelekea fangasi kupanda kichwani.
CHANZO PTVTZ
Pia soma TANZIA - Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia
Maana yake endelea na mambo mengine.Akishajua itamsaidia nini?
Chisos ooo maaa gaaa 🙆♂️Kaka yake marehemu Dida Shaibu aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi fm, amesema mdogo wake alikuwa na vidonda vya tumbo akaacha matumizi ya dawa ikampelekea fangasi kupanda kichwani.
CHANZO PTVTZ
Pia soma TANZIA - Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia